Kumbe tunahesabu awamu za Serikali bila kuwa na sheria au utaratibu maalum unaotuongoza? Si muhimu sasa kuweka utaratibu rasmi?

Ibara ya 40 (4)

SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awamu yake.View attachment 2034057
... it makes sense; thank you!
 
Imeandikwa wapi tuna-refer Jima la Raisi? Na serikali za kikoloni mbona hatuzihesabu na ziiongoza hii nchi?Nadhani mpaka hapa utakuwa umeona umuhimu au logic ya hizi awamu kuwa defined tena baada ya nchi yetu kuwa huru vinginevyo hata awamu ya Nyerere sio awamu ya kwanza bali tutasema serikali ya kikoloni ndio awamu ya kwanza.
Tanzania haikutawaliwa na wakoloni mzee hyo ni Tanganyika ambayo Nyerere aliiua na kuizika kabisa
 
Ibara ya 40 (4)

SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awam
Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
 
Kuna nyumbu hata katiba hawasomi wanasubiri tu kusikia kundi lao litasema nini ili nao waunge mkono 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
... nyumbu mkuu akiwa polex2. Kabudi, waziri wa Katiba na Sheria, anasisitiza hii ni awamu ya 5! Tuna waziri wa Katiba asiyeijua Katiba?
 
No. Amechukuwa awamu ya Magufuli anamalizia japo ni rais kamili. Tulifanya ''uchaguzi'' wa kutafuta serikali ya awamu ya tano, na ndiyo iliyoko bado madarakani. Awamu nyingine inaanza 2025.
Rais halali wa JMT anapatikana kwa njia mbili tu ambazo ni uchaguzi mkuu au (makamu) kuchukua hatamu baada ya rais kufa au kushindwa kuendelea kwa magonjwa. So Samia ni rais kamili na halali hata kama hakujafanyika uchaguzi
 
Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
... kama nimemwelewa mdau; kwa mujibu wa Katiba, Rais mrithi atahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake endapo kipindi kilichobaki (cha urithi) ni chini ya miaka mitatu na atakuwa na haki ya kugombea vipindi viwili. Ila kama urithi utakuwa ni angalau miaka mitatu (Samia anaangukia hapa), ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu which means kipindi chake cha (awamu ya) kwanza (zaidi ya miaka mitatu) alishatawala.

That means, kwa kuwa Samia anaangukia hapa, ana haki ya kujiita Awamu ya 6; hamalizii awamu ya mtangulizi wake bali ni awamu yake. In summary, chini ya miaka mitatu anamalizia awamu iliyopita; zaidi ya miaka mitatu ni awamu mpya!
 
Kwa akili ya kawaida ukifanya hivyo maana yake unampa nafasi yule anayeshika kiti cha urais kugombea awamu tatu jambo ambalo si sawa.Hivyo katiba imeweka wazi ili anayeshika kiti cha urais baada ya mtangulizi kufariki atanbue kabisa kuwa yupo na awamu mbili tu
 
Ibara ya 40 (4)

SSH amechukua kijiti ikiwa imebaki miaka minne hivyo anastahili kuiita awamu yake ni ya sita kwakuwa hatoruhusiwa kugombea mara mbili.Lakini kama ingekuwa chini ya miaka mitatu angekamilisha kwanza awamu aliyoikuta (5) Alafu angeweza kuendeleza awamu yake.View attachment 2034057
Pitia kwanza Ibara ya 37(5) Mkuu, kwa mujibu wa hii Ibara Samia anatekeleza awamu ya pili ya JPM. Ila hii Ibara imekaa vibaya sana na inayo nguvu ya kujitegemea.
 
Serikali ya awamu ya tano haijamaliza muda wake ila Raisi aliyechaguliwa kuiongoza alifariki na katiba ikampa nafasi makamu wake kumalizia kipindi hicho akisha maliza kipindi hicho cha urithi atakuja na awamu yake hiyo ya sita kwa sasa anatumikia matakwa ya katiba ambayo anayajua na aliyajua pale tu alipokubali kushika nafasi hiyo na katika iliyaweka kwa makusudi hayo vinginevyo katiba ingetaka raisi akifariki kuitishwe uchaguzi mwingine
Hapa niko na wewe Mkuu, haieleweki haraka ila ndio Katiba inachosema Ibara ya 37(5) alafu inakurudisha Ibara ya 40 ukajichanganye [emoji23][emoji23][emoji23]
 
... kama nimemwelewa mdau; kwa mujibu wa Katiba, Rais mrithi atahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake endapo kipindi kilichobaki (cha urithi) ni chini ya miaka mitatu na atakuwa na haki ya kugombea vipindi viwili. Ila kama urithi utakuwa ni angalau miaka mitatu (Samia anaangukia hapa), ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu which means kipindi chake cha (awamu ya) kwanza (zaidi ya miaka mitatu) alishatawala.

That means, kwa kuwa Samia anaangukia hapa, ana haki ya kujiita Awamu ya 6; hamalizii awamu ya mtangulizi wake bali ni awamu yake. In summary, chini ya miaka mitatu anamalizia awamu iliyopita; zaidi ya miaka mitatu ni awamu mpya!
Kwenye kumalizia muda wa mtangulizi Katiba haijataja muda uliobaki ila imeenda kutaja mambo ya muda uliobaki kwenye ishu za mrithi kutaka kugombea ndio hayo ya miaka zaidi ya mitatu kugombea kwa awamu moja ya miaka 5.
 
Hapa ndio msingi wenu uliko. Ukweli ni kwamba mkitaka hivi, huyu mama anaweza kutawala miaka 15 kwa hoja kwamba kipindi alichoogoza sio chake bali cha marehemu na hivyo kuomba atawale awamu zake 2 zilizojaa
Maana yake ni kuwa samia hataruhusiwa kugombea mwaka 2025 maana ndio mwaka wa mwisho kwa awamu ya tano
 
Back
Top Bottom