... kama nimemwelewa mdau; kwa mujibu wa Katiba, Rais mrithi atahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake endapo kipindi kilichobaki (cha urithi) ni chini ya miaka mitatu na atakuwa na haki ya kugombea vipindi viwili. Ila kama urithi utakuwa ni angalau miaka mitatu (Samia anaangukia hapa), ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu which means kipindi chake cha (awamu ya) kwanza (zaidi ya miaka mitatu) alishatawala.
That means, kwa kuwa Samia anaangukia hapa, ana haki ya kujiita Awamu ya 6; hamalizii awamu ya mtangulizi wake bali ni awamu yake. In summary, chini ya miaka mitatu anamalizia awamu iliyopita; zaidi ya miaka mitatu ni awamu mpya!