Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.
Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!
Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!
Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!
Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!
Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!
Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!