Du hata kumbukumbu nayo ni tatizo kwako eeh! Kumbe ndio maana huyo TL wenu alipopiga domokaya kuwa EL ni fisadi wote mliimba kuwa lowasa ni fisadi, kwa kutokuwa na kumbukumbu huyohuyo lisu alipopiga domokaya kuwa EL ni safi hivyo aende ikulu kama mazuzu tena wote mkaanza imba wimbo EL ni safi!
Pathetic fella!
Labda huelewewi maana ya uwajibikaji kama kiongozi wa umma
ALLY HASSAN MWINYI alijihuzulu madaraka yake baada ya askari kuuwa shinyanga.....hakuwatuma lakini wahalifu walitoka ndani ya wizara yake... Aliwajibika kama mhusika mkuu japo hakutenda chochote.
1. Lowasa kama waziri ilimpasa kubeba mzigo hivyohivyo
2. Lowasa kama waziri, hatakama akuhusika ilimpasa kutokana nanafsi yake
Swali ... (i)
1. Kwanini serikali ya ccm mpaka leo haijamchukulia hatua endapo Lowasa yeye kama Lowasa ndiye mhusika?
2. Tuliwasikia
A. Selina Kombani .. aliyekuwa waziri sasa marehem
B. Samuel Sita .... aliekuwa spika sasa
marehem
C. John komba.... capten sasa marehem
Hawa nimakada maarufu wa ccm walimnanga Lowasa kwamba fisadi na mgonjwa wa kufa muda wowote (kisa kujiunga upinzani)
Wote wamekufa Lowasa mzima
Ccm kwa ujumla walisema Lowasa jizi na fisadi kajiunga upinzani.....
Yeye std seven MSUKUMA aliimbisha watu kwamba Lowasa kajinyea.
Swali (ii)
1. Lowasa karudi CCM, Ufisadi wake umetakaswa lini kupitia mahakama gani?
2. Au CCM ni Chama Cha Mafisadi hivyo karudi nyumbani na kujumuika na mafisadi mengine ndio mmenyamaza?
3. Fisadi kangi Lugola amehukumiwa lini na kwenye mahakama gani? Zaidi ya bilioni moja na wenzake? Kuna watu wanasota na kutaabika mahabusu kwa million 17 tu!!!