Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Wote wakichangia kwa lobbying navijikaratasi wizarani. Nini maana ya uwepo wao Dodoma ?!.

Na mijadala inayoongozwa na mh spika na wenyeviti maanake nini ?! Lumumba mnatia huruma kwa kutokuwa na points.

Odhis *
Ww ndio unakatisha tamaa kwa kuwa mgumu wa kuelewa afu mwepesi kusahau! Eliyekuambia lobbing lazima ihusishe vikaratasi ni nani? Ninyi mliokariri kuwa ukiwa chsma pinzani basi hapaswi kuongea kistaarabu na serikali ( mawaziri) ni mapoyoyo mnaoleta umaskini kwa watz kwa kuchelewesha maendeleo!
Mijadala inakuwepo pia kwa maandishi bila kusimama na kuongea! Hata hivyo kwa akili zako sidhani kama unaelewa! Na hata ukielewa sidhani kama utakumbuka!
 
Wakati anafanya ufisadi kama unavodai
- CCM ilikuwa
- Yupo CCM mpaka leo na ccm inaongoza

A. Kwanini wewe na polisi wako hamjamfungulia kesi?

B. Serikali ilianzisha kwa mbwembwe mahakama ya mafisadi

Umepeleka malalamiko yako? Tuwekee namba ya kesi au walau jaji anayesikiliza kesi hiyo

C. Umethibitisha kupitia mahakama ipi kwamba Lowasa fisadi au wewe Zuzu lakipumbuvu kuzushia watu usiyokuwa na ushahidi nayo.
Hayo maswali waulize mazwazwa na mazuzu wenzio akina TL waliomhukumu EL! Kuhusu mahakama ya mafisadi, mpaks tumfunge babako ndio ujue inafanya kazi zake eeh?
 
Mbulula na mbumbumbu ni ww, aliyekuambia Covid-19 inaenezwa kwa kufanya mijadara ya kuhusu upuuzi wa ufipani mtandaoni ni nani?
Au ndio hoja zenyewe za moto ndio unaishia kutuka na kukejeli! Msijifiche kwenye kichaka cha corona, upuuzi wenu sasa upo peupe!
Akili za wajinga hufukiri kijinga

Dunia nzima imezizima kwa janga la CORONAVIRUS

Ni mbumbumbu tu anaweza kuja na upuuzi huu

Quarantine everywhere still mbumbumbu wanazuka na hoja za kipumbavu
 
Mnamlipa mtu kwa ajili ya kufanya jambo x anapokea hela na halifanyii utekelezaji jambo hilo! Na ii kasumba ipo sana upinzani, wao wanadhulumu haki za watu, afu wanatoka mbele kwa hasira kudai haki zao za magumashi.

TL alichukua hela kwa ajiri ya kutembelea jimbo lake ili kuwasaidia wananchi wa ikungi na singida mashariki kwa ujumla! Badala yake akawahadaa kwakuitumia hela yao kwenda america na kwingineko!

Hii nayo ni dhuluma kwa wananchi wa jimbo lake na ni wizi na matumizi mabaya ya kodi zetu! Kwa upumbafu anaendelea kudunda na kujiona mtakatifu huku akiwabwatukia wengine kuwa hatendewi haki!
We ndugu hivi umesoma hata paka drs la 7 kweli mbona u aongea Ukoto sana kama msukule ulionyimwa chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe nanyi.

Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!

Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais, ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!

Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.!

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kama hicho wewe TL hawezi ongea uongo akiwa Duniani uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi, ww ni mnafiki unayedhani unaweza kubadilisha ukweli anaousema huyo Tundu Lisu. Ukweli wa Tundu Lissu uko hivyo hivyo anavyousema na huna uwezo wowote wa kuubadili mpaka uingie kaburini. Na kama hizo fedha unazopambania ni kwakuwa zinaenda kwa mabeberu, hizo za Kange Lugola pia ni mkataba na hao hao mabeberu, tena hizo zake ni mara 1,000 zaidi ya hizo za Lissu.
Aliyekuambia KL hatashughurikiwa ni nani? Mbona unanilazimisha nitoke relini?
 
Aliyekuambia KL hatashughurikiwa ni nani? Mbona unanilazimisha nitoke relini?

Utoke kwenye reli ipi? Kinachomfanya asishughulikiwe nini wakati takukuru wamesema muda tu kuwa wameshakamilisha uchunguzi kwa 99%?
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!


Ujinga umetamalaki hapa
 
Wait a minute,pesa ya mfuko wa Jimbo inalipwa kwenye account ya mtu binafsi? Kama ni ndiyo basi tuna serikali ya hovyo kuwahi kutokea duniani,unagawaje pesa ya walipa Kodi Kama pipi?
Hivi na wewe umeanza kujijua eeh! Asante Yesu!
 
Waliotaka kumtanguliza mnao hukohuko wenyewe, jimulikeni tu vizuri!
Hakuna hela itakayotafunwa ya serkali ya awamu hii! Ngoja uone watu watakavyoanza kugongana! Hizo zote zilizoorodhedhwa na CAG tutafuatilia! Bila kusahau na malipo hewa ya TL!
Umesoma taarifa ya CAG LAKINI? KUNA SEHEMU KATAJA VIJISENTI VYA LISSU AU NDO WALE WALE WA TEAM PRAISE FOR UNHOLY TRINITY? Mamilioni yamegegedwa na sirikali kwa kisingizio cha "kutelekeza"miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani" but huoni isipokuwa ya "mliyetaka kumtanguliza AHERA mkakataliwa na mwenye uwezo kuliko vibudu nyie!!!!
 
Kunashida gani kwa alichokiandika...akili yako imebaha nini, mbona kinaeleweka tu tena kwa kiswahili!?
Hivi we si juzi ulidai ulipitia Saut ?! Mbona unakidhalilisha hicho chuo ?! Kweli product ya Saut ndiyo wa aina yako ?!. Kwanini kisifungwe hicho chuo ?!



Odhis *
 
Ninachoshwa na kelele na ushabiki wenu wa kichawi.
Mnaoshangilia tabia za kukomoana watu wanapouliziana haki zao, mnatia shaka kwa kushangilia kukua kwa ushetani na usadist hapa Tz.
Nanyi mlitakiwa kujiuliza kwanza kuwa, kama kweli siku zote hizo alikuwa na vielelezo kwa nini hakuwa amepeleka swala hilo mahakamani? Nadhani Tanzania inakwenda kusiko.
Sikiliza vizuri hiyo clip, majibu yako yamo humo!
 
WeWe ni mpumbavu kama alivyo huyo Spika wenu, hela ya Mfuko wa Jimbo hulipwa kwenye account Binafsi ya Mbunge tangu lini?
Nani kasema ililipwa kwenye account binafsi ya mbunge? Kweli hizi akili zenu mmmh shida saana! Majibu mengine mtayapata kwa kakake TL!
 
We ndugu hivi umesoma hata paka drs la 7 kweli mbona u aongea Ukoto sana kama msukule ulionyimwa chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
Msukule ni weww mwenyewe! Mna makelele sana ninyi na TL! Mkome kuropoka ovyo! Ukiona tumenyamaza usifikiri hatuwezi funguka!
 
Back
Top Bottom