Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Anzisha huo uzi titachangia!
Utoke kwenye reli ipi? Kinachomfanya asishughulikiwe nini wakati takukuru wamesema muda tu kuwa wameshakamilisha uchunguzi kwa 99%?
 
Ninachoshwa na kelele na ushabiki wenu wa kichawi.
Mnaoshangilia tabia za kukomoana watu wanapouliziana haki zao, mnatia shaka kwa kushangilia kukua kwa ushetani na usadist hapa Tz.
Nanyi mlitakiwa kujiuliza kwanza kuwa, kama kweli siku zote hizo alikuwa na vielelezo kwa nini hakuwa amepeleka swala hilo mahakamani? Nadhani Tanzania inakwenda kusiko.
Wengine wanaoandika huu ujinga wamechoka hata kuliko mimi anafanya tu eti kwa kuwa baba yake ni mjumbe wa shina wa ccm na yeye anavalishwa siku moja moja suruali nyeusi na shati la kijani na kupewa vi laki viwili vitatu then anaona kauuuula
 
unajua taratibu za fedha za jimbo? unajua nani anaidhinisha hizo pesa ndio zitoke benki?
 
Mnamlipa mtu kwa ajili ya kufanya jambo x anapokea hela na halifanyii utekelezaji jambo hilo! Na ii kasumba ipo sana upinzani, wao wanadhulumu haki za watu, afu wanatoka mbele kwa hasira kudai haki zao za magumashi.

TL alichukua hela kwa ajiri ya kutembelea jimbo lake ili kuwasaidia wananchi wa ikungi na singida mashariki kwa ujumla! Badala yake akawahadaa kwakuitumia hela yao kwenda america na kwingineko!

Hii nayo ni dhuluma kwa wananchi wa jimbo lake na ni wizi na matumizi mabaya ya kodi zetu! Kwa upumbafu anaendelea kudunda na kujiona mtakatifu huku akiwabwatukia wengine kuwa hatendewi haki!
Wewe ni mdivi tuu nenda court kaeleze kinyesi chako una ongea ongea tuu nyie ndio mnajifanya ccm mpya ngoja ccm asili iwanyoshe this time
 
Unajua kwamba buge kwa Kiingereza linaitwa "Parliament" neno lenye asili ya neno la Kifaransa "Parler" lenye kumaanisha "kuzungumza"? Kama si lazima kuongoea bungeni ni kwa nini wabunge wanakusanyika Dodoma?

Kuna watu wanachangia kwa maandishi, pia kuna kamati zinajadili hoja kabla ya kuja bungeni, hivyo wanaweza kuweka mawazo yao huko.
 
Mbona anawashughulisha Sana huyo lisu?.
Wanaccm wenzangu tujiamini,,
Hivi hamna vitu vingine vya kuongelea zaidi ya lisu?
Ni sahihi kumjibu mkuu,Spika akikaa kimya itaonekana kweli jamaa kadhulumiwa. Maana wenyewe walisema Spika aweke wazi na kwa busara hizo hizo zao Spika kaweka wazi.

macson
 
CCM mmeishiwa kabisa. Chama kimekuwa kama kikundi cha taarabu. Watu wanapoteza ajira na issue ya Corona, nyie mnakuja kuleta kelele za Lissu Lissu. Nyie chama tawala, Corona ina zaidi ya mwezi 1 Tz, tupeni social and economic impact analysis, acheni kuleta distractions
 
Yeye atueleze vipi zile pesa za umma alizotumia kukaa India yeye,mkewe na wasaidizi wao wanazilipaje! CAG alizihoji na ndio kisa cha yeye kuwa na chuki binfasi nae! Aeleze atarudishaje zile fedha!
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!

wewe na lissu ni mbingu na Ardhi usiforce K ya nyuma kumeza muwa itachanika vibaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanachangia kwa maandishi, pia kuna kamati zinajadili hoja kabla ya kuja bungeni, hivyo wanaweza kuweka mawazo yao huko.
Ninaposema hawachangii ni kweli hawachangii. Si kwa maandishi wala bungeni. Kwenye Kamati siyo bungeni na hakuna mbunge ambaye yumo kwenye kila kamati ya bunge.
 
Back
Top Bottom