Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Kwa akili yako fupi kama kinyesi unajua mbunge kuchangia hadi umuone anaongea . Huwa wengine wanachangia kwa maandishiý
Huo wa kujua kwamba wabunge huwa wanachangia kwa maandishi ni ujuzi mpya? Nani hajui kwamba kuna kuchangia kwa maandishi? Yaani huyo mbunge kila wizara na kila hoja anachangia kwa maandishi sasa bungeni anakwenda kufanya nini kama yeye kila wakati anachangia kwa maandishi?

Kitendo cha kutukana mtu usiyemjua inaonesha hukufunzwa adabu na mama yako!!!
 
Mleta mada upanga hukata kuwili.Jee,umefuatilia ripoti ya CAG aliyoiwasilisha bungeni majuzi kuhusu ubadhirifu wa mabiioni ya fedha za umma uliofanywa na watu tuliowakasimisha madaraka kwenye uongozi wa awamu hii ya tano.Kama Spika na mleta mada ni wazalendo wa kweli na mnauchungu na nchi,wakati mnapolipigia chapuo suala hhli kuhusu TL(kama lipo kwnli) basi na hayo madudu mengine muyachukulie hatua vinginevyo tutajua mmeanzisha tuhuma hizo ili kuwatoa kwenye reli watanzania wasihoji wizi huo.
 
Mnamlipa mtu kwa ajili ya kufanya jambo x anapokea hela na halifanyii utekelezaji jambo hilo! Na ii kasumba ipo sana upinzani, wao wanadhulumu haki za watu, afu wanatoka mbele kwa hasira kudai haki zao za magumashi.

TL alichukua hela kwa ajiri ya kutembelea jimbo lake ili kuwasaidia wananchi wa ikungi na singida mashariki kwa ujumla! Badala yake akawahadaa kwakuitumia hela yao kwenda america na kwingineko!

Hii nayo ni dhuluma kwa wananchi wa jimbo lake na ni wizi na matumizi mabaya ya kodi zetu! Kwa upumbafu anaendelea kudunda na kujiona mtakatifu huku akiwabwatukia wengine kuwa hatendewi haki!
Nyie ni wapumbav,mnajua mchakato wa kutumia fedha za mfuko wa jimbo ukoje?Wehu wakubwa!
 
Wewe ni mdivi tuu nenda court kaeleze kinyesi chako una ongea ongea tuu nyie ndio mnajifanya ccm mpya ngoja ccm asili iwanyoshe this time
Mambo ya ccm ni ya wana ccm wenyewe
 
Mjomba unaijua wikileaks, kama waijua leta evidence ili tu.prove unachosema.. Ukishindwa acha kukaa vijiwe vya kahawa
 
Mleta mada upanga hukata kuwili.Jee,umefuatilia ripoti ya CAG aliyoiwasilisha bungeni majuzi kuhusu ubadhirifu wa mabiioni ya fedha za umma uliofanywa na watu tuliowakasimisha madaraka kwenye uongozi wa awamu hii ya tano.Kama Spika na mleta mada ni wazalendo wa kweli na mnauchungu na nchi,wakati mnapolipigia chapuo suala hhli kuhusu TL(kama lipo kwnli) basi na hayo madudu mengine muyachukulie hatua vinginevyo tutajua mmeanzisha tuhuma hizo ili kuwatoa kwenye reli watanzania wasihoji wizi huo.
Usijali ndg, hawatatoka salama wenye makandokando ktk awamu hii, tumedhamilia kukomesha ubadhilifu hatutanii kwa hili!
 
Back
Top Bottom