Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Ukija kuleta hoja hapa usilete WEHU kamilisha taarifa uzushi sio mahala pake

(a) Hebu tupatie ni mwezi na mwaka gani?

(b) Hebu tuambie alipita njia gani na kwa kibali cha nani? Airport au mpaka gani

(b) Nani aliidhisha fedha kwa matumizi tofauti kama safari ilipangwa kwenye swali la msingi (a) hapo juu
Afu Adolay hebu tusichoshane, nimeshajibu hilo swali hapo juu...mbona king'ang'anizi hivyo, na hutaki kuelewa, au na ww ndio haohao wa ufipani!?
 
Nimekupongeza sana kwa kusema unaweza kwenda mahakamani kumfungulia Lisu kesi. Sasa ili tukuunge mkono vizuri ukifika huko mahakamani ufungue na kesi ya Lugola ili tujue una uchungu usioacha shaka kwa nchi hii na mambo ya fedha za umma. Tena uzuri uchunguzi wa hilo suala la Kange Lugola takukuru wanasema wamekamilisha uchaguzi kwa 99%
Mimi situmwi na mtu, hilo la KL unaweza fungua hata ww naona pia linakukeleketa! Ngoja nimalizane na hili kwanza kurejesha kodi yetu inayotumika kwa mabeberu!
 
Ni TL et al ndio walimhukumu wala siyo kumtuhumu kuwa EL ni fisadi! Alipohamia chadema hao hao akina TL ndio walimsafisha na kutska awe rais! Ccm walimkataa kuwa hatoshei urais! Au na hili hulijui!?.....or kwebi ninyi watu wa ufipani huo mnakitu kinaitwa selective amnesia, hivyo huwezi kumbuka!
Kwa hiyo hukumu walishamuhukumu skina TL na pia kumsafisha wenyewe na vifuata upepo nyie yote mliyashangilia na kuyashabikia! EL alipoamua tena kurudi CCM amepokelewa kama mwanachama dio kwenu, amefika leo na keshobkuwa mgombea urais!
Unaongelea kuwajibika hivi unakujua weye kuwajibika...au hicho ki list ndio kwako umeishia kwa maana nzima ya kuwajibika!? Bado hujui unachoongelea! Hata hivyo tusitoke kwenye maada!

A) Unaelewa maana ya kuwajibika? Kama ndio eleza

B) Alipohamia Chadema alikuwa na wadhifa gani serikalini?

C) Kiongozi anapowajibika kwa nafasi yake bado ataendelea kubeba tuhuma za wizara? Au ataendelea kubeba mambo ya kiongozi kwa nafasi aliyojiuzulu? Mfano baada ya mzee mwinyi kuwajibika nini kilifuata?
 
Afu Adolay hebu tusichoshane, nimeshajibu hilo swali hapo juu..

Ukija kuleta hoja hapa usilete WEHU kamilisha taarifa uzushi sio mahala pake

(a) Hebu tupatie ni mwezi na mwaka gani?

(b) Hebu tuambie alipita njia gani na kwa kibali cha nani? Airport au mpaka gani

(b) Nani aliidhinisha fedha kwa matumizi tofauti kama safari ilipangwa kwenye swali la msingi (a) hapo juu
 
Baada ya kumkatia tu Yale malipo hewa na kumfuta ubunge hatumsikii Tena Tundu Lissu akizurura kutukana Serikali amebakia kuongelea Miguuni kwake.No movement!!!
 
Ni TL et al ndio walimhukumu wala siyo kumtuhumu kuwa EL ni fisadi! Alipohamia chadema hao hao akina TL ndio walimsafisha na kutska awe rais! Ccm walimkataa kuwa hatoshei urais! Au na hili hulijui!?.....or kwebi ninyi watu wa ufipani huo mnakitu kinaitwa selective amnesia, hivyo huwezi kumbuka!
Kwa hiyo hukumu walishamuhukumu skina TL na pia kumsafisha wenyewe na vifuata upepo nyie yote mliyashangilia na kuyashabikia! EL alipoamua tena kurudi CCM amepokelewa kama mwanachama dio kwenu, amefika leo na keshobkuwa mgombea urais!
Unaongelea kuwajibika hivi unakujua weye kuwajibika...au hicho ki list ndio kwako umeishia kwa maana nzima ya kuwajibika!? Bado hujui unachoongelea! Hata hivyo tusitoke kwenye maada!

Wakati anafanya ufisadi kama unavodai
- CCM ilikuwa
- Yupo CCM mpaka leo na ccm inaongoza

A. Kwanini wewe na polisi wako hamjamfungulia kesi?

B. Serikali ilianzisha kwa mbwembwe mahakama ya mafisadi

Umepeleka malalamiko yako? Tuwekee namba ya kesi au walau jaji anayesikiliza kesi hiyo

C. Umethibitisha kupitia mahakama ipi kwamba Lowasa fisadi au wewe Zuzu lakipumbuvu kuzushia watu usiyokuwa na ushahidi nayo.
 
Baada ya kumkatia tu Yale malipo hewa na kumfuta ubunge hatumsikii Tena Tundu Lissu akizurura kutukana Serikali amebakia kuongelea Miguuni kwake.No movement!!!

Akili za wajinga hufukiri kijinga

Dunia nzima imezizima kwa janga la CORONAVIRUS

Ni mbumbumbu tu anaweza kuja na upuuzi huu

Quarantine everywhere still mbumbumbu wanazuka na hoja za kipumbavu
 
Mimi situmwi na mtu, hilo la KL unaweza fungua hata ww naona pia linakukeleketa! Ngoja nimalizane na hili kwanza kurejesha kodi yetu inayotumika kwa mabeberu!

Ni hivi, ww ni mnafiki unayedhani unaweza kubadilisha ukweli anaousema huyo Tundu Lisu. Ukweli wa Tundu Lissu uko hivyo hivyo anavyousema na huna uwezo wowote wa kuubadili mpaka uingie kaburini. Na kama hizo fedha unazopambania ni kwakuwa zinaenda kwa mabeberu, hizo za Kange Lugola pia ni mkataba na hao hao mabeberu, tena hizo zake ni mara 1,000 zaidi ya hizo za Lissu.
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!

"Hatua za kishertia" ndo nini,mbona una mawazo kama ya mwizi wa dola 12m za matibabu?
 
Wait a minute,pesa ya mfuko wa Jimbo inalipwa kwenye account ya mtu binafsi? Kama ni ndiyo basi tuna serikali ya hovyo kuwahi kutokea duniani,unagawaje pesa ya walipa Kodi Kama pipi?
 
I kawaida ya wabunge kupewa hiyo fedha ya jimboni, wakitegemewa kuitumia wakiwa majimboni mwao! Kwa kuwa walijua angeitumia jimboni, walimpa, na yeye TL alijuwa maana ya malipo hayo, badala yake alifanya kinyume, kutumia fedha yetu walipakodi kuihujumu nchi yetu ughaibuni!

Baada ya kugundua hivyo ndio maana mh spika aliamua kuchukua hatua ya kumsimamisha na kisha bunge lilimvua ubunge! Baada ya kumvua, ubunge naamini tunahitaji kwenda hatua moja zaidi ya kumdai hela yetu alioitafuna bila kuifanyia kazi!

Lakini kwa watu wenye akili za kushikiwa kwa ww na wenzio hamuwezi ona hili! Uwezo wenu ni mapovu yenye matusi na kejeli kwa kuwa hayo ndio yaliyojaza mafuvu yenu na mioyo yenu! Pathetic fella!
Umesoma taarifa ya CAG LAKINI? KUNA SEHEMU KATAJA VIJISENTI VYA LISSU AU NDO WALE WALE WA TEAM PRAISE FOR UNHOLY TRINITY? Mamilioni yamegegedwa na sirikali kwa kisingizio cha "kutelekeza"miradi ya maendeleo kwa fedha za ndani" but huoni isipokuwa ya "mliyetaka kumtanguliza AHERA mkakataliwa na mwenye uwezo kuliko vibudu nyie!!!!
 
TL mwaka huu utausikia ubunge tu mzee baba Nchi hii syo familia yako. Kesho na mm nitakuwa Rais
 
Mahakamani ndio habari inayofuata, usijari, atafikishwa tu hivi karibuni maana kayataka mwenyewe!
Ninachoshwa na kelele na ushabiki wenu wa kichawi.
Mnaoshangilia tabia za kukomoana watu wanapouliziana haki zao, mnatia shaka kwa kushangilia kukua kwa ushetani na usadist hapa Tz.
Nanyi mlitakiwa kujiuliza kwanza kuwa, kama kweli siku zote hizo alikuwa na vielelezo kwa nini hakuwa amepeleka swala hilo mahakamani? Nadhani Tanzania inakwenda kusiko.
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!

WeWe ni mpumbavu kama alivyo huyo Spika wenu, hela ya Mfuko wa Jimbo hulipwa kwenye account Binafsi ya Mbunge tangu lini?
 
Baada ya kumkatia tu Yale malipo hewa na kumfuta ubunge hatumsikii Tena Tundu Lissu akizurura kutukana Serikali amebakia kuongelea Miguuni kwake.No movement!!!
Unao ushahidi wa kuitukana serikali? Tuweke hapo jf
 
Amani iwe nanyi.

Kwa wa kristo wote duniani kipindi cha kwaresma ni kipindi cha toba ambacho watu hukitumia kujirudi kwa muumba wao kwa kuomba na kusamehewa zambi zao.

Si sawa kwenye kipindi cha kwaresma kusema uongo waziwazi na kujilizaliza ili uonekane kwamba unaonewa na kuteseka sana kuliko binadamu wote hapa duniani!

Ndugu yetu huyu Tundu Lisu amekuwa mtu wa kusema uongo na kuzushia wengine mabaya ili waonekane ni wachafu mbele ya jamii, mfano kwa miaka nane alizunguka kote nchini na duniani akimtaja Lowasa kuwa ni fisadi namba moja duniani! Lakini baada ya Lowasa kuinunua chadema na kuwa mgombea urais, ni Lisu huyohuyo tena alizunguka nchi nzima akiwaambia watu kuwa Lowasa siyo fisadi na anafaa kuwa rais wa Tanzania!

Tabia mbaya hii Tundu Lisu aneendelea nayo hata baada ya kupigwa risasi zaidi ya 38, kwanza aliwaahidi wa Tanzania kwamba akipona tu atarudi nyumbani mpaka leo hajafanya hivyo maana yake alisema uongo. Pili ndani ya mwezi huu wa toba Tundu Lisu amelifurumshia uongo na uzushi bunge kwamba hajalipwa madai yake huku akijua si kweli!

Jana Spika Ndugai ameonyesha hadharani nyaraka zote zinazoonyesha Tundu Lisu amelipwa zaidi ya milioni 500 na bunge! ,tena amelipwa hela zingine za kutembelea wapiga kura wakati hajawahi kufanya hivyo! Hapo bado hujaweka mamilioni mengine aliyochangiwa na wana chadema.!

Tunakuambia tu Lisu huku kudeka na kulialia siyo kwa hali ya kawaida huenda una tatizo la malezi mahali na tunakuonya pia ipo siku wanyonge watataka kurudishiwa hela zao ulizolipwa bila kuzifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi we si juzi ulidai ulipitia Saut ?! Mbona unakidhalilisha hicho chuo ?! Kweli product ya Saut ndiyo wa aina yako ?!. Kwanini kisifungwe hicho chuo ?!

Odhis *
 
Siyo lazima umuone ww akipiga kelele bungeni! Anaweza kufanya lobbing na wizara husika wakaingiza mahitaji ya wananchi wa jimbo lake kwenye bageti za wizara husika pasi kumuona akitukana na kupayuka kama lofa bungeni wanavyofanya wale wengine hasa wa ufipani!
Wote wakichangia kwa lobbying navijikaratasi wizarani. Nini maana ya uwepo wao Dodoma ?!.

Na mijadala inayoongozwa na mh spika na wenyeviti maanake nini ?! Lumumba mnatia huruma kwa kutokuwa na points.

Odhis *
 
Pesa ya mfuko wa jimbo inaingizwa kwenye akaunti binafsi ya Mbunge??? Hata hivyo kama ni kweli ni makosa kumlipa lisu wakati vijana wa buku 7 wanamadai miezi kadhaa hawajalipwa!
 
Baada ya kumkatia tu Yale malipo hewa na kumfuta ubunge hatumsikii Tena Tundu Lissu akizurura kutukana Serikali amebakia kuongelea Miguuni kwake.No movement!!!
Umeona eeh!
 
Back
Top Bottom