Kumbe Tundu Lissu anadaiwa kwa kulipwa malipo hewa!

Tupo kwenye awamu ya kutumbua majipu, na kuwa makini wa matumizi sahihi ya rasilimali zetu! Huyu lisu ameshatutibua! Amekwapua hela asiyoifanyika kazi...huyu naye ni jipu....mapoyoyo ndio eti yalikua yanaota kuwa rais wa sampuli hii! Too pathetic!
Amekwapua wapi?
 
Sina ugonvi na hilo ndg, kuzungumza kunaweza fanyika bila kupayuka!
Hujajibu swali langu. Kama wabunge wanaweza kuendesha mambo kwenye majimbo yao kwa kufanya "Lobbying" kwa mawaziri, ni kwa nini basi wanakwenda kukaa bungeni Dodoma kwa zaidi ya miezi mitatu?

Kupayuka ndio kukoje na ni kinyume cha kanuni za Bunge letu?
 
Kama tungejua baada ya kupona majeraha ya blankoo asingejifunza na kufanya mambo kwa manufaa ya taifa, kweli kabisa ingelikuwa heli angepumzika kokote ambako blankoo zingemfikisha, ila ningemuombea afikie peponi kwa kumuombea Mungu amsamehe! TL ametuudhi wengi zaidi baafa ya kutoka kuzimuni!

Pole Sana mkuu, ila nikushauri tu, kampeini hazifanywagi hivyo, maana kwanza hata hueleweki, Kama kweli unaipenda CCM na serikali yake, hivyo sio namna tunafanyaga kampeni, rejea nyuzi za 2010, 2015,

Wewe unafanya kampeni au propaganda kishamba na Kama unalipwa hela zinapotea bure maana unazalisha maadui badala ya washabiki wa chama ba serikali.

Ningekua polepole ningekufuta kwenye paylist
 
Muulize yeye mwenyewe ila kwa uwongo wake sidhani kama atakuambia!
Hii maana yake unaongea kitu hauna uhakika nacho,,unaona?,unapotaka kufanya propaganda hakikisha kwanza unazo facts zote,maana akitokea mtu serious atazicrush point zako na wewe utaonekana hopeless,elewa hizi nyuzi zinasomwa na Malaki ya watu na watu Wana akili timamu ya kuchambua pumba na mchele
 
Kama tungejua baada ya kupona majeraha ya blankoo asingejifunza na kufanya mambo kwa manufaa ya taifa, kweli kabisa ingelikuwa heli angepumzika kokote ambako blankoo zingemfikisha, ila ningemuombea afikie peponi kwa kumuombea Mungu amsamehe! TL ametuudhi wengi zaidi baafa ya kutoka kuzimuni!
Hustahili kuongea kwa niaba ya mtu yeyote, nadhani kuna shida ipo kwenye maisha unayoishi hivyo ukija hapa jukwaani na kuanza chafua taswira ya mtu unahisi kupata ahueni ya maisha yako. Hebu tulia tafuta data uje utuonyeshe tunaweza kukusaidia kwenye wazo lako lakini ukija na matusi na kejeli sidhani kama ni njia sahihi kwa mtu mwerevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnamlipa mtu kwa ajili ya kufanya jambo x anapokea hela na halifanyii utekelezaji jambo hilo! Na ii kasumba ipo sana upinzani, wao wanadhulumu haki za watu, afu wanatoka mbele kwa hasira kudai haki zao za magumashi.

TL alichukua hela kwa ajiri ya kutembelea jimbo lake ili kuwasaidia wananchi wa ikungi na singida mashariki kwa ujumla! Badala yake akawahadaa kwakuitumia hela yao kwenda america na kwingineko!

Hii nayo ni dhuluma kwa wananchi wa jimbo lake na ni wizi na matumizi mabaya ya kodi zetu! Kwa upumbafu anaendelea kudunda na kujiona mtakatifu huku akiwabwatukia wengine kuwa hatendewi haki!
Kinachomzuia Ndugai kwenda mahakamani ni ninii? Hata yule anaegalagala kwenye mawe UWANI kwake yuko hivihivi anaishi kwa uzushi.
 
Pole Sana mkuu,,ila nikushauri tu,,kampeini hazifanywagi hivyo,,maana kwanza hata hueleweki,,Kama kweli unaipenda ccm na serikali yake,hivyo sio namna tunafanyaga kampeni,,rejea nyuzi za 2010,2015,
Wewe unafanya kampeni au propaganda kishamba na Kama unalipwa hela zinapotea bure maana unazalisha maadui badala ya washabiki wa chama ba serikali.
Ningekua polepole ningekufuta kwenye paylist
Kama una utimamu wa akili ungetulia na ungeelewa nachosema! Lakini kwa kuwa akili yako imekomea hapo sina cha kukusaidia! Eti napiga kampeni...hivi ccm ya sasa inahitaji kupigiwa kampeni baada ya yaliyofanywa na serkali yake! Ipige kampeni vs nini, kuna chama au wagombea mbadala wa ccm!?
Ufinyu wa akili zako umekupulekea uamini mimi ni muajiliwa wa ccm! Nimeshasema awali, hata uanachama wa ccm sijawahi uhaisha ila sasa nafikilia kuhaisha uanachama wangu!
Hapa sipigi kampeni, najadiri upuuzi unaofanywa na wahuni kwa uwazi...sasa kama ukweli unakuuma kiasi hicho pole yako...unahitaji kujitathmini kama upo upande sahihi maana siyo kwa makandokando hayo! Eti najitafutia maadui, ofcourse kwa watu wasio na uwezo wa kujenga hoja na hawako tayari kusikia ukweli kama ww lazima unichukulie kama adui, lakini wenye utimamu wa akili watajirekebisha na kuelewa!
 
Kinachomzuia Ndugai kwenda mahakamani ni ninii? Hata yule anaegalagala kwenye mawe UWANI kwake yuko hivihivi anaishi kwa uzushi.
Mahakamani ndio habari inayofuata, usijari, atafikishwa tu hivi karibuni maana kayataka mwenyewe!
 
Kama una utimamu wa akili ungetulia na ungeelewa nachosema! Lakini kwa kuwa akili yako imekomea hapo sina cha kukusaidia! Eti napiga kampeni...hivi ccm ya sasa inahitaji kupigiwa kampeni baada ya yaliyofanywa na serkali yake! Ipige kampeni vs nini, kuna chama au wagombea mbadala wa ccm!?
Ufinyu wa akili zako umekupulekea uamini mimi ni muachiliwa wa ccm! Nimeshasema awali, hata uanachama wa ccm sijawahi uhaisha ila sasa nafikilia kuhaisha uanachama wangu!
Hapa sipigi kampeni, najadiri upuuzi unaofanywa na wahuni kwa uwazi...sasa kama ukweli unakuuma kiasi hicho pole yako...unahitaji kujitathmini kama upo upande sahihi maana siyo kwa makandokando hayo! Eti najitafutia maadui, ofcourse kwa watu wasio na uwezo wa kujenga hoja na hawako tayari kusikia ukweli kama ww lazima unichukulie kama adui, lakini wenye utimamu wa akili watajirekebisha na kuelewa!
Ok,hupigi kampeni,haya tuambie lini lisu kapewa hizo pesa Kisha akatokomea marekani na ulaya?
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!

Du hata kumbukumbu nayo ni tatizo kwako eeh! Kumbe ndio maana huyo TL wenu alipopiga domokaya kuwa EL ni fisadi wote mliimba kuwa lowasa ni fisadi, kwa kutokuwa na kumbukumbu huyohuyo lisu alipopiga domokaya kuwa EL ni safi hivyo aende ikulu kama mazuzu tena wote mkaanza imba wimbo EL ni safi!
Pathetic fella!
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia Mh. Ndugai akimuonya Tundu Lissu kwa kuwa asitake kumlazimisha kufukua yaliyokuwa yamefunikwa kwa kile alichokiita kumtuhumu Spika kuwa ni muongo! Japo kuwa karibu kila binadamu ktk kipindi fulani ktk maisha huwa na deni la kulipa sehemu fulani, lakini hili deni nalolisemea hapa ni la malipo hewa.

Lissu alilipwa fedha za jimbo wakati akilandalanda Marekani, Uingereza na Ubelgiji na Ujerumani akiitukanisha nchi na Serikali, kwa fedha ambayo ilipaswa itumike jimboni kwake Singida!

Malipo haya aliyolipwa TL kwa mtazamo wangu ni malipo hewa na anapaswa ayarejeshe! Kama vipi nitakwenda mahakamani kufungua kesi ya kuwezesha kurejesha mamilioni ya kodi zetu yaliyotumika vibaya kwa kulipa malipo hewa!

Kabla sijafanya hivyo, nilitaka kuwajulisha wana janvi, hasa wale wanapenda kuunga mkono kila ujinga na upuuzi anaolopoka TL ili mkome kushadadia majizi!

Lazima mjue TL ni muongo na mzushi kwa asilimia kubwa ya anayoropoka! Mnakumbuka ktk hali ya ujizi wake alisema Mh. Magu hawezi ongea sentence moja ya kiingereza kana kwamba kuongea kiingereza ndio kipimo cha akili, wakati huohuo tunaona maprofesa wengi kutoka urusi, china, japan, korea, ujeruman nk hawajui hicho kiingereza pamoja na kufanya gunduzi zilizoitikisa dunia!

Pia kuna marais wengi duniani hawajui hicho kiingereza ndio maana utawakuta kwenye mikutano ya UN wanavaa vifaa maalumu vya kutafsiri lugha!

Kwa kifupi, labda huyo Lisu wenu mumtambue tu kama ni chizi vinginevyo hatua kali za kishertia zitachukuliwa dhidi yake soon enough!

Nendeni mahakamani nyambafu. Sio kulialia hovyo. Nyani haoni kundule. Lisu kiboko yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hustahili kuongea kwa niaba ya mtu yeyote, nadhani kuna shida ipo kwenye maisha unayoishi hivyo ukija hapa jukwaani na kuanza chafua taswira ya mtu unahisi kupata ahueni ya maisha yako. Hebu tulia tafuta data uje utuonyeshe tunaweza kukusaidia kwenye wazo lako lakini ukija na matusi na kejeli sidhani kama ni njia sahihi kwa mtu mwerevu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unachezea humohumo, huna uwezo wa kujenga hoja sasa unaanza kupambana na mleta hoja badala ya kajenga hoja! Hakuna tusi hapa labda kama ukweli umegeuka tusi!
 
Achana na kumbukumbu zangu wewe twambie tu,hizo pesa unazodai lisu alikwapua akakimbilia marekani alikwapua toka wapi na lini?,simple...
Ata nikikuambia utasahau tena, bora nisikwambie tu!
 
😁😁,We unazengua ngoja nikapate zangu ulabu kusherekea karume day,,Hapa napoteza mda,nilitaka nikupe mbinu za kufanya propaganda kuongeza waungaji mkono chama,,naona uko mzito Sana kujiongeza
 
Back
Top Bottom