Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel taifa kubwa... Dunia nzima ukiongelea uchumi mkubwa muisrael (km raia) lazima atajwe
Kama Israel inashika uchumi wa dunia iweje sasa uchumi mkubwa haupo Tel Aviv au Jerusalem?
kweli leo umeshinda njaa ....wamiliki wote ni wayahudi....hivi yule dogo wa facebook ni myahudi .....?
GDP ya Israel ni ngapi?
Duh..we umeshindikana, hili bandiko hapa linatangazwa na waislamu wenzio wakiwahamasisha msinunue bidhaa hizo ni za wayahudi ili kufikisha hisia zenu juu ya kinachofanywa na Israel dhidi ya Palestina.
Uwe unasoma vizuri sheikhs...umeona kwenye mabano?? Waisirael Wilma individuals ambao wengi wao Hawapo nchini kwao. Ila hizi ni fact dunia nzima inajua. Kama unaona ni fix ziache humu humu
kweli leo umeshinda njaa ....wamiliki wote ni wayahudi....hivi yule dogo wa facebook ni myahudi .....?
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?As far as I know ni Mmarekani na makao makuu ya Facebook yapo Marekani, Menlo Park huko.
Au yapo Haifa?
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar
- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?
Na uchumi wa tz umeshikwa na India sababu ya kina Dewji?
Sio hivyo tu, wayahudi hata awe wapi ni myahudi tu na kwao anajua ni Israel, wanastate of nationalhood na wako loyal kwa Israel zaidi ya huko wanakoishi.
kweli leo umeshinda njaa ....wamiliki wote ni wayahudi....hivi yule dogo wa facebook ni myahudi .....?
Na uchumi wa tz umeshikwa na India sababu ya kina Dewji?
hii list yako haileweke ! kuna kampuni na bidhaa zote umechanganya pamoja !
kwa mfano Nestle Food ni kampuni ya Kiswiss na ni yatokea 1800 huko !
Kotex ni kampuni ya Kikorea ya kutengeneza pedi za kina mama ! uzi wako una dalili ya uzushi au kutia chumvi ! Giorgio Armani ni Mbunifu wa Kiitali