Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

Status
Not open for further replies.
kweli leo umeshinda njaa ....wamiliki wote ni wayahudi....hivi yule dogo wa facebook ni myahudi .....?

As far as I know ni Mmarekani na makao makuu ya Facebook yapo Marekani, Menlo Park huko.

Au yapo Haifa?
 
Duh..we umeshindikana, hili bandiko hapa linatangazwa na waislamu wenzio wakiwahamasisha msinunue bidhaa hizo ni za wayahudi ili kufikisha hisia zenu juu ya kinachofanywa na Israel dhidi ya Palestina.

GDP ya Israel ni ngapi?
 
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel.
______________
Shops & Clothing:
______________
- Starbucks
- Tesco
- M&S
- Disney Shop
- McDonalds
- Hugo Boss
- Sunglass Hut
- GAP
- Giorgio Armani
- Calvin Klein
- Ralph Lauren - Playtex
- Banana Republic
- River Island
- Timberland
______________
Drinks:
______________
- Coca Cola
- Fruitopia
- Fanta
- Kia Ora
- Lilt
- Sprite
- Sunkist
- Evian
- Volvic
- Nescafé
- Nesquik - Perrier
- Vittel
______________
Foods & Chocolates:
______________
- Nestle
- Maggi (Noodles)
- Buitoni
- Crosse & Blackwell
- KitKat
- MilkyBar

- Quality Street
- Smarties - After Eight - Aero
- Lion
- Polo
- Felix (Cat Food)
______________
Makeup/Perfumes & Health:
______________
- L'Oreal
- Clinique - DKNY
- Prescriptives - Origins - La Mer
- Bobbi Brown
- Tommy (Perfume)
- Bumble & Bumble
- Kate (Cream)
- Johnson & Johnson (Baby Oil)
- Huggies
- Garnier
______________
Others:
______________
- Arsenal Football Club
- AOL
- Time Warner Time Life Magazine
- CNN
- Barbie
- Intel - Motorola
- Kotex
- The Sun
- The Times
- Australian Newspapers
- National Geographic
- Star Channels (Indian)
- Sky
- Fox
- Nokia
- Standard Newspapers
- New York Post
- The Telegraphed
- Independent
Kuna uwezekano wa kugome vyote hivyo?au lazima tuishi chini ya himaya ya hawa jamaa?

hii list yako haileweke ! kuna kampuni na bidhaa zote umechanganya pamoja !
kwa mfano Nestle Food ni kampuni ya Kiswiss na ni yatokea 1800 huko !

Kotex ni kampuni ya Kikorea ya kutengeneza pedi za kina mama ! uzi wako una dalili ya uzushi au kutia chumvi ! Giorgio Armani ni Mbunifu wa Kiitali
 
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?

Sio hivyo tu, wayahudi hata awe wapi ni myahudi tu na kwao anajua ni Israel, wanastate of nationalhood na wako loyal kwa Israel zaidi ya huko wanakoishi.
 
Asili yake ni mule mule. So mtz akiwekwa marekani na akiwa successful hata Kama amebadili Uraia origin yake inajifuta kabisa?

Mark kazaliwa Marekani, kakulia Marekani, kasomea Marekani, anaongea kama Mmarekani, kampuni kaianzisha Marekani, makao makuu yake yapo Marekani, inalipa kodi Marekani.

Kisa tu yeye ana asili ya Kiyahudi hakumfanyi awe Myahudi. Ni kama ilivyo Obama. Obama ni Mmarekani, siyo Mkenya.

Sasa kama huyo Mark angezaliwa Israel, angekulia Israel, angesomea Israel, kampuni angeianzishia Israel, maka yake makuu yangekuwa Jerusalem, hapo ungekuwa na hoja.
 
Sio hivyo tu, wayahudi hata awe wapi ni myahudi tu na kwao anajua ni Israel, wanastate of nationalhood na wako loyal kwa Israel zaidi ya huko wanakoishi.

Kwa nini hawarudi kuishi huko kwao sasa?
 
kweli leo umeshinda njaa ....wamiliki wote ni wayahudi....hivi yule dogo wa facebook ni myahudi .....?

Ndio huyo dogo wa facebook ni myahudi.. na ameinunua whatsapp pia ....siku hizi ujue ukikanyaga tu kwenye website MOSSAD wakikutaka wanakunyaka..all social networks ziko connected na facebook,yahoo,yahoo etc...mossad na cia wako huko...hapo ndo ujue wayahudi ni noumer.
 
hii list yako haileweke ! kuna kampuni na bidhaa zote umechanganya pamoja !
kwa mfano Nestle Food ni kampuni ya Kiswiss na ni yatokea 1800 huko !

Kotex ni kampuni ya Kikorea ya kutengeneza pedi za kina mama ! uzi wako una dalili ya uzushi au kutia chumvi ! Giorgio Armani ni Mbunifu wa Kiitali

Coca-cola ni kampuni ya Kimarekani na makao yake makuu yapo midtown Atlanta, na siyo Tel Aviv wala Gaza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom