Kumbe Ukraine imepewa silaha nyingi kuliko ilivyoomba: lakini kila siku inalilia silaha kama kisingizio cha kushindwa vita

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya vifaru vyote duniana, Wamemuumbua Zelensky ambaye kila siku analia lia kusingizia kuwa kuelemewa kwake ni kwa kuwa hajapewa silaha za kutosha.

The Ukrainians have received more weapons than they had asked for, according to General Mark Milley, chairman of the US Joint Chiefs. Kiev had asked for ten battalions of artillery, and got twelve. The US and its allies also supplied Ukraine with more than 97,000 anti-tank systems, “more than there are tanks in the world,” Milley said.

“They asked for 200 tanks; they got 237 tanks,” Milley added. “They asked for 100 infantry fighting vehicles; they got over 300. We’ve delivered, roughly speaking, 1,600 or so air defense systems and about 60,000 air defense rounds.”

Ndiyo maana hata wafadhili wa ukraine wameanza kuchoka, maana kila wakipeleka silaha urusi inaziwahi kuzishambulia hata kabla hazijafika kenye uwanja wa vita.
 
Zelensky hafai kuiongoza Ukraine katika vita hii.
Kuna vitu anavikosa katika Ku deal na hili.
ila wa ukraine ndo walimpenda sasa sijui ww ulie mwituni huku na wao walioko huko dunian nan anamuelewa zaid Zele ?, komaa na ccm tu mkuu dunian waachie wenyew
 
Aliwafaa kipindi cha Amani.

Sipo mwituni.
 
Ndiyo maana nato na usa
emoji631.png
wanaiogopa zaidi russia sasa kuliko zamani maana walipeleka siraha zao za high tec ila zimekuwa kama hakuna
emoji23.png
 
[emoji28][emoji28]

Kwa kweli Kwa style hiyo lazima waogope
 
17 June 2022
Vienna, Austria 🇦🇹

Ukweli wa hali ilivyo kufuatana na mkuu wa utafiti na operesheni za kivita wa jeshi la Austria, Colonel Markus Reisner anatoa ripoti bila chembe ya kuegamia upande

Colonel Markus Reisner on the delivery of heavy weaponry to Ukraine.
Source :Österreichs Bundesheer
 
Zelensky hafai kuiongoza Ukraine katika vita hii.
Kuna vitu anavikosa katika Ku deal na hili.
Kwa taarifa yako, Zelensky ndio ameifanya Ukraine isishindwe vita hadi sasa. Angekuwa nyoronyoro kama Putin vita ingeishaisha zamani.
 
Tofautisha kati ya silaha nyingi na Silaha nzito.
Unaweza Kupewa javellina milion tatu. bunduki miLion hamsini. guruneti bilion moja.
RPG Laki saba na risasi tilion nne. huo ndio mfano wa silaha wanavyo pewa ukraine. na kwa silaha hio hio wanagomboa kila mji unaotekwa na russia. leo russia inateka mji kesho ukraine wanaurudisha.
SIKU wakipewa yale madude ya NATO. kwa utoshelevu wake. ndani ya miezi miwili Ukraine itakomboa CRIMEA.
Save my Words.

DAAH
RUSSIA KANIVUNJA MOYO WANGU
 
Ukraine imeelemewa katika uwanja wa vita japo kila siku inasingizia kuwa haina silaha za kutosha. Mwishowe nchi za magharibi zimeweka wazi kuwa Ukraine hadi sasa imeshapewa silaha nyingi sana kuliko kiasi ilichoomba!! Imepewa mifumo ya kushambulia vifaru kwa kiasi kikubwa mno kuliko idadi ya vifaru vyote duniana, Wamemuumbua Zelensky ambaye kila siku analia lia kusingizia kuwa kuelemewa kwake ni kwa kuwa hajapewa silaha za kutosha.

The Ukrainians have received more weapons than they had asked for, according to General Mark Milley, chairman of the US Joint Chiefs. Kiev had asked for ten battalions of artillery, and got twelve. The US and its allies also supplied Ukraine with more than 97,000 anti-tank systems, “more than there are tanks in the world,” Milley said.

“They asked for 200 tanks; they got 237 tanks,” Milley added. “They asked for 100 infantry fighting vehicles; they got over 300. We’ve delivered, roughly speaking, 1,600 or so air defense systems and about 60,000 air defense rounds.”

Ndiyo maana hata wafadhili wa ukraine wameanza kuchoka, maana kila wakipeleka silaha urusi inaziwahi kuzishambulia hata kabla hazijafika kenye uwanja wa vita.
Amepewa silaha nyingi ila sio zile nzito na za kimkakati kama HIMARS..
 
Back
Top Bottom