Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Hujawahi kuumwa jino usiku. Daah yani jino likikuuma usku utaona hakukuchi.Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Duh hatarHujawahi kuumwa jino usiku. Daah yani jino likikuuma usku utaona hakukuchi.
Kutumika na nnMara ya mwisho umetumika lini
Hakika nimejifunzaJitahidi usikose dawa za kutuliza maumivu ndani. Pole sana
Sawa dearKunywa maji mengi...
SawaOlewa Dada acha kuwa Midfielder.
We mtu mzm bwana jiongezeKutumika na nn
Pole sana mkuuNimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Pole sana mpendwa...Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Anamaanisha umewekwa lini dudu la yuyu mara ya mwisho 😂Kutumika na nn
Msalimie Tonnia
Duu we mrembo upo, sijakuona muda kweliKunywa maji mengi...