Pole dear kunywa sana maziwa mgando yatakusaidia sana na utanishukuru. Kwa siku glass mojaNimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Nakupinga mkuu, ipo sana iyo wadada wengi uwapata sana maumivu ya tumbo makali mno uwa inakuwa UTIIla UTI na kuumwa tumbo mbona hakuna uhusiano
Ahsante ngoja nianze keshoPole dear kunywa sana maziwa mgando yatakusaidia sana na utanishukuru. Kwa siku glass moja
Samahani lakini hivi hiyo mwanamke wa mithali 31 inasemaje nimeanza kuipenda kweliNitaanza leo
Kaisome alafu urudi hapaSamahani lakini hivi hiyo mwanamke wa mithali 31 inasemaje nimeanza kuipenda kweli
AhsantePole mkuu
Pole sana ndugu yangu, ni kawaida sana kuumwa , wakati mwingine kuumwa kwingine kunakuwa kugumu sambamba na maumivu makalinila kupona kupo na hakuwi mbali.Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe
Usiku wa jana ulikua mkubwa kwangu,ulikua mrefu,niliona masaa yamesimama
Niliteseka sana,nililia
Niliumwa tumbo sijawahi kuumwa maisha,nilisema asubuhi sifiki
NImeenda kwenye vipimo naambiwa UTI kali nayo hivi kumbe UTI ndo inauma hivi ???
Waheshimiwe ma dacktar popote mlipo 🥰🥰🥰
Hata leo nimeweza kushika cm ,kuanzia leo nitaiheshimu UTI
Sio kweli kabisa Uti ni ugonjwa wa zinaa, watoto wadogo wadogo kila leo hospitali huko wanaumwa Uti sasa hio zinaa wamepata wapi??Uti ni ugonjwa wa zinaa ???
Sipo kwenye mahusiano mwaka mzima sasa
Sijafanya hizo mambo,kwahyo kama uti ni magonjwa ya zinaa sijui itakua nimepataje
Kaisome alafu urudi hapa
[/QUOTE
Nimesoma kwa uzuri sana kwahyo wewe "uzuri kwako ni batili"
MbooKutumika na nn
Kwa sasa hamna namna lazima mbowe atupishe amekula va kutosha zamu yetu nasie
🤣ilibakigi kidogo niweke simu bond duka la dawa kwa ajili ya jino alfu ni saa7 usiku,Hujawahi kuumwa jino usiku. Daah yani jino likikuuma usku utaona hakukuchi.
Hiyo utaisikia kwa Jirani tu 💪🏽Ahsante ngoja nianze kesho
Hee kwani keshakuwa mshale au m.b.oo?Mbowe kaingiaje hapa
Mental illness🤯inakusumbuaHee kwani keshakuwa mshale au m.b.oo?
Baadhi mistari kwenye mithal 31Samahani lakini hivi hiyo mwanamke wa mithali 31 inasemaje nimeanza kuipenda kweli
Pole Sana Ndugu. Mimi Niliumwa Sikio ile J'4 Ya Tarehe 31 Aiseee... Nilihisi Maumivu Makali Sanaa, Usiku Wote Sikulala , Wakati Wenzangu Wanasherehekea Mwaka Mpya Mimi Napambana na Maumivu ya Sikio. Mungu ni Mwema Nilitumia Dawa Angalau Kwa Sasa Nayasikia kwa Mbali.Nimewahi kuugua mara nyingi lakini homa iliyonipata usiku wa jana sijawah kuumwa toka nizaliwe