Kumbe usiku ni mrefu hivi?

Hujawahi kuumwa jino usiku. Daah yani jino likikuuma usku utaona hakukuchi.
Jino ni noma sana lilishawahi kumuuma jamaa yangu, tulitoka zetu ku hang up akaniambia nitalala ghetto kwako tu.
Imefika mida ya saa 8 usiku Jino likaanza kumuuma yaani akiinuka akienda bafuni /chooni akijiangalia kwenye kioo huku amejishika shavu linapowa, akirud kitandani tena kwa mwendo wa kunyata akilala tu linaanza kuuma zaidi ya mwanzo.

Akienda tena washroom akijiangalia kwenye kioo huku kajishika shavu linapowa kabisaaaa 🀣🀣🀣

Lilikuja kutulia saa 11 alfajir ndio akalala.
 
Usiku mwingine mrefu ni wa kulala njaa.. Niliwahi kunywa panadol na colgate ili kupoza njaa lakini wapi.. Usiku wa njaa simuliwa tu na wengine
 
Watoto
Sio kweli kabisa Uti ni ugonjwa wa zinaa, watoto wadogo wadogo kila leo hospitali huko wanaumwa Uti sasa hio zinaa wamepata wapi??
Ni kukariri tu kusiko na maana!
hupata kwenye vyoo vya shule ambapo ni kuchafu.
 
Ndiyo tabia ya jino.
Linakutesa usiku usilale ikifika alfajiri linapoa ulale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…