Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Kama inavyojulikana njia ya mtu kuambukizwa VVU ni kipitia kujamiana ukiachana na njia zingine kama kuwekewa damu ya muathirika n.k
Leo nimeenda mazingira Fulani mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kucheck vipimo n.k, vipimo ambavyo tunavijua kwa wingi ni rapid test zile SD Bioline.
But nimekutana na kipimo kingine doctor anapima kwa kuchukua mate kutoka kwenye fizi ya juu na chini!
Ilinishangaza kidogo kwa mantiki hiyo virusi vinakaa hadi kwenye mate ya mdomoni?
Tujiadhari na tuendelee kutumia condom.