Kumbe VVU inaweza kuambukizwa kwa njia ya mate (busu)? Tujiadhari

Kumbe VVU inaweza kuambukizwa kwa njia ya mate (busu)? Tujiadhari

Hapana haiwezekani hivyo vipimo huwa nivapima Kama mwili wako umezalisha HIV antibody ,Kama mtu amepata maambukizi ya HIV mwili huzaliza antibody ambazo Ni specific kwa HIV peke yake,kwa hiyo hizo antibody zitakzwa zipo kwenye body fluids ndio maana sampuli wanaweza kuchukua damu au mate Ila si kweli kuwa mate yanaambukiza HIV ,Hilo Jambo halipo
 
Moderator Paw please content hii ni uzushi tunaomba muipige label ya uzushi

Wengine kissing ndiyo starehe yetu huyu anatusababishia msongo wa mawazo
 
Naomba Elimu juu ya hili Omerta
Vipimo vya HIV vinapima Antibody (Kinga ya mwili) against HIV kwa maana mtu mwenye virusi mwili wake hujenga specific antibody (Kinga ) against virusi husika.

Kwahiyo haimaanishi kuwa kwenye mate kinachoonekana ni virusi
 
Ohoo…Asante sana mkuu.

Ngoja nikadendeke na kumpa bj mtoto wa mama mkwe
 
VVU HAVIENEZWI KWA NJIA YA KISS.

LABDA UWE NA DAMU NA MWENZA WAKO AWE NA DAMU DONDA SUGU MDOMONI.

HIV HAIENEZWI KWA NJIA YA MATE.
 
Acha tu wapime hayo mate Mana Midomo ya vijana siku hizi inanyonya Vinyeo na sehemu zingine tofauti na midomo.
 
Back
Top Bottom