Ile ishaisha muda wake,ngoja niweke nyingine utaizoea
Hahaha kesho tena SAA hz tuchat kwanzaKwahiyo nimzoee Kabila basi mtafute anaonekana vizuri
Hahaha kesho tena SAA hz tuchat kwanza
Ila Rafiki huo unywele ktk avatar hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau sifa moja..Wanawake wanahitaji wanaume wa aina mbili.
1:Handsome.(huyu ni wa kuuzia)
2:Mwanaume atakae mtunza na kumthamini bila kujali ana sura kama maktaba.
Kabisaaasura ngm ndo habari ya mjin!lol
Ila Rafiki huo unywele ktk avatar hatari
HahahahaWooooooozeeeeer
Hahaha, huko hapana Rafiki we endelea tu,kuna Uzi huwa siwezi changia RafikiRafiki ebu njo huku makapuku tuwaachie uzi wao ukuje unisifie vizuri
Kwahiyo rafiki huwa una nyuzi zako ebu nipitie basi twende kwa shayoHahaha, huko hapana Rafiki we endelea tu,kuna Uzi huwa siwezi changia Rafiki
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Niko kwa Shayo hapa,Uzi zingine mnajuana wana JF ya wasasaKwahiyo rafiki huwa una nyuzi zako ebu nipitie basi twende kwa shayo
Niko kwa Shayo hapa,Uzi zingine mnajuana wana JF ya wasasa
Hahaha we kwa Shayo,utafika kesho kutwaNyie wahenga acheni ubaguzi niagizie zangu kabisa nakuja
Hahaha we kwa Shayo,utafika kesho kutwa
Mamiloo naomba account yako ya fbYaan vitu vinakera sijui wanacopy fb kwao huko
Hahaha haya bana ,full high day Leo,Shayo kazungusha teke la van DameHapana rafiki ndio natoka hapa
Weeeeee!!huko hukooo!!!Wa dar[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwingine 2004 hajaanza primary daaah!nilichokaaa!nahisi yuko form sixKuna post nilisoma humu,MTU yuko std 7 2004 ,Leo yuko JF unategemea nini? Km si post km hz?