MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani.
Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana nguo zilijaa difenda ya Jeshi.
Wasiwasi wangu ni kwa makamanda wa Chadema siku Jeshi la migambo wakisema nao wanataka nguo zao.