The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
SanaJeshi letu liko idle sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaJeshi letu liko idle sana.
Majirani zetu Sudani, Niger na Gabon huko wakasaidie ipo siku na sisi tutasaidiwa.Jeshi letu liko idle sana.
Naona ndicho wanatafuta.....sasa naanza kuelewa.Popote mlipo ndugu zangu wa Chadema baada ya hili na jeshi la Mgambo litahitaji kurudishwa kwa uniform zao hivyo stay tuned
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Yes the End will justify the meaning. ...Kwa sasa tuliache Jeshi letu tukufu lifanye kazi yakeDuh! Kwani kuna siri gani kwenye hii ishu? Naona kama ni ishu ndogo sana kwa Jeshi kupoteza nalo muda. Tujipe muda tutapata majibu ya kinachotafutwa.
hawaka kazi, wangekuwa walau na mashamba darasa mawili makubwa moja Kigoma la kichikichi lingine kule Singida la alizeti wakazalisha mafuta ya kupikia na kukidhi soko la ndani kwa walau 40% aisee kweli ningesema Jeshi la wananchi tunalo tena la kujivunia.
Hapo umenena ndugu yanguNguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!
Majukumu yao ya msingi ni kulinda Taifa letu na utajiri wake wa asili! Waseme neno kuhusu DP World tuone kama wanastahili heshima!
Hapo umenena ndugu yanguNguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!
Majukumu yao ya msingi ni kulinda Taifa letu na utajiri wake wa asili! Waseme neno kuhusu DP World tuone kama wanastahili heshima!
Mkuu iko hivi, ni wachache sana wanaoweza tofautisha sare za jeshi letu na za nchi zingine kwa kuwa zinafanana kwa kiasi fulani, wengi wakiona mabaka baka wanajua ni za jWtZ, hivyo mtu akivaa na kufanya uhalifu lawama zinarudi kwa jeshi letu, kwahyo wao wameamua kupunguza hilo
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kunyoa kipoti ikoje iyo mastaKitu chochote chenye kiashiria na mambo ya tpdf ni dhambi kuwa nacho
Saa
Nguo
Viatu (kwa wale mnaopenda mkasulu) unavaaje mkasulu halafu kamanda anavaa buti nyeusi [emoji41]
Kunyoa kipoti
Mamabegi
Mkanda wa kiunoni
Daileki (vitambaa
Rock Citymchafukoge ndo wapi huko?
Hivi Kuna zile jungle boot(American boot) zimejaa maduka ya mtumba hapo Arusha nazo wanasema ni za kwao?Mkuu, hoja yako ni nyepesi sana. Kuna matukio yanapigwa ya kihalifu ukiangalia scenario unaona hawa ni ‘wazee wa kazi’ na hakuna mtu anatumia sare ya jeshi.
Huu ujinga ukinyamaziwa kwa akili za nchi hii si muda mrefu utasikia TLS wameingia mtaani kukamata wanaovaa suti nyeusi, baada ya hapo tutasikia MAT wanasaka watu wote wenye makoti meupe, then wanafunzi nao watatembeza msako kwa wenye mashati meupe wote nk nk.
Hicho kinachoitwa sare za jeshi, hao wanajeshi wanaweza vaa na kuingia nazo kazini kama uniform halali?