Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

Popote mlipo ndugu zangu wa Chadema baada ya hili na jeshi la Mgambo litahitaji kurudishwa kwa uniform zao hivyo stay tuned

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Naona ndicho wanatafuta.....sasa naanza kuelewa.

Maama majeshi ya marekani, Urusi na China yako bize kutengenez mashine za hatari na utafiti wa technolojia.

Tutasikia siku zijazo mguzo zinazofanana na za Mgambo zirudishwe
 
hawaka kazi, wangekuwa walau na mashamba darasa mawili makubwa moja Kigoma la kichikichi lingine kule Singida la alizeti wakazalisha mafuta ya kupikia na kukidhi soko la ndani kwa walau 40% aisee kweli ningesema Jeshi la wananchi tunalo tena la kujivunia.


Tuwape na la Ngano Babati na la mpunga Kilosa.



Kama bado watakua na nguvu tuwapeleke kwenye mashamba ya pamba Shinyanga.


Wakishindwa basi tuwafungulie viwanda vya kuvunja kokoto Kama wanavyovunja Tofali kwenye sherehe za uhuru.
 
Kitu chochote chenye kiashiria na mambo ya tpdf ni dhambi kuwa nacho

Saa
Nguo
Viatu (kwa wale mnaopenda mkasulu) unavaaje mkasulu halafu kamanda anavaa buti nyeusi 😎
Kunyoa kipoti
Mamabegi
Mkanda wa kiunoni
Daileki (vitambaa
 
Nguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!
Majukumu yao ya msingi ni kulinda Taifa letu na utajiri wake wa asili! Waseme neno kuhusu DP World tuone kama wanastahili heshima!
Hapo umenena ndugu yangu
 
Nguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!
Majukumu yao ya msingi ni kulinda Taifa letu na utajiri wake wa asili! Waseme neno kuhusu DP World tuone kama wanastahili heshima!
Hapo umenena ndugu yangu
 
Mkuu iko hivi, ni wachache sana wanaoweza tofautisha sare za jeshi letu na za nchi zingine kwa kuwa zinafanana kwa kiasi fulani, wengi wakiona mabaka baka wanajua ni za jWtZ, hivyo mtu akivaa na kufanya uhalifu lawama zinarudi kwa jeshi letu, kwahyo wao wameamua kupunguza hilo

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app


Tundu la panya halizibwi kwa mkate.



Anaekamatwa kwa uhalifu huku akiwa na sare za JWTZ awajibishwe kwa mujibu wa sheria na wale wote waliowezesha yeye kupata hizo uniform nao wawajibishwe.


Elimu kuhusu JWTZ, JKT, SUMAJKT, POLICETZ zitolewe nchini kote kwa uendelevu Kama zilivyo kampeni za makampuni ya Betting kwenye vituo vya Tv na Radio na Mitandao ya kijamii.

Wanajeshi warudi kwenye jamii. Washirikiane na jamii katika kazi mbali mbali za ujenzi wa taifa. Washiriki matukio ya kijamii yatakayowapa fursa ya kujumuika na jamii bila vikwazo wala vizingiti vya nidhamu ya uoga na Vitisho vya udhalilishaji.

Wanajeshi wawe sehemu ya jamii Kama ilivyokusudiwa wakati wa uumbwaji wao na kupewa majina [emoji117] JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA na JESHI LA KUJENGA TAIFA + SHIRIKA LA UZALIZASHAJI MALI JKT.








Kuna watanzania wapo nchi hii hii na hawaijui bendera ya Tanzania na wala hawajui kwamba tunayo bendera ya Tanganyika.

Uzalendo juu ya chochote hautengenezwi kwa vitisho ama manyanyaso, binaadam sio mbwa, utii wake Una kikomo kulingana na uwezo wa uvumilivu wake.


Wananchi wanapaswa kupenda vya nyumbani kwao na sio vya majirani Kama mipaka shume.

Uoga huzaa chuki, Chuki huzaa uovu, Uovu huzaa dhambi na Dhambi huzaa Mauti.





Hivi yule binti (nyumba ndogo) aliyejipiga Selfie na uniform ya sijui kanali mwaka 2016/2017 akatuwekea Facebook aliishia wapi?
 
Mkuu, hoja yako ni nyepesi sana. Kuna matukio yanapigwa ya kihalifu ukiangalia scenario unaona hawa ni ‘wazee wa kazi’ na hakuna mtu anatumia sare ya jeshi.

Huu ujinga ukinyamaziwa kwa akili za nchi hii si muda mrefu utasikia TLS wameingia mtaani kukamata wanaovaa suti nyeusi, baada ya hapo tutasikia MAT wanasaka watu wote wenye makoti meupe, then wanafunzi nao watatembeza msako kwa wenye mashati meupe wote nk nk.

Hicho kinachoitwa sare za jeshi, hao wanajeshi wanaweza vaa na kuingia nazo kazini kama uniform halali?
Hivi Kuna zile jungle boot(American boot) zimejaa maduka ya mtumba hapo Arusha nazo wanasema ni za kwao?
 
Aliyetupa laana wtz hakika alituweza, yaani jeshi kuhangaika na Mambo ya kitoto kias hiki?. Jeshi la kipumbavu kabisa....
 
Back
Top Bottom