MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
MWANZA,IGOGOmchafukoge ndo wapi huko?
wabeja sanaMWANZA,IGOGO
Popote mlipo ndugu zangu wa Chadema baada ya hili na jeshi la Mgambo litahitaji kurudishwa kwa uniform zao hivyo stay tunedJeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani.
Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana nguo zilijaa difenda ya Jeshi.
Wasiwasi wangu ni kwa makamanda wa Chadema siku Jeshi la migambo wakisema nao wanataka nguo zao.
Chadema watavaa kanga siku hiyoJeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani.
Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana nguo zilijaa difenda ya Jeshi.
Wasiwasi wangu ni kwa makamanda wa Chadema siku Jeshi la migambo wakisema nao wanataka nguo zao.
Nguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani.
Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana nguo zilijaa difenda ya Jeshi.
Wasiwasi wangu ni kwa makamanda wa Chadema siku Jeshi la migambo wakisema nao wanataka nguo zao.
??Wasiwasi wangu ni kwa makamanda wa Chadema siku Jeshi la migambo wakisema nao wanataka nguo zao.
Barking behind barsNguo za jeshi siyo rangi! kufanana siyo hoja! Waseme nguo zao zina alama ipi? Ina maana mtu akiwa na nguo ya jeshi la uganda kwa mfano watadfai ni yao kwa kuwa zinafanana!! Wasitake kuleta tafrani isiyo na sababu!!
Masjukumu yao ya msingi ni kulinda Taifa letu na utajiri wake waasili! Waseme neno kuhusu DP World tuone kama wabnastahili heshima!