Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

Jeshi la hovyo Sana,hiyo yoote kisa ni bodgadi WA MBOWE.
Yaani Nchi hii jamani.
Wajeda wazimq mnaendeshwa na akili ndogo ya siasa!.
Oneni aibu jamani.
Tuonyesheni kiwanda kinachotengeneza hizo UNIFORM ZENU hapa Nchini kwetu Kwanza,mbuzi nyie.

Ifikie hatua mjitambue jamani.
 
Mkuu iko hivi, ni wachache sana wanaoweza tofautisha sare za jeshi letu na za nchi zingine kwa kuwa zinafanana kwa kiasi fulani, wengi wakiona mabaka baka wanajua ni za jWtZ, hivyo mtu akivaa na kufanya uhalifu lawama zinarudi kwa jeshi letu, kwahyo wao wameamua kupunguza hilo

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
...dah! Sasa hapo nashindwa Nikae upande gan... Lakn hadi wafkie hatua hyo wana maana...
 
Vipi wamekusanya chupi, taiti, boksa, vesti, brazia na midoli ya watoto yenye mabaka kama yao? Itakuwa wamejikusanyia mitumba yenye urembo wa mabaka wakifananisha na yao kumbe hizo ni nguo za kiraia tu
 
Wachache wenye akili ndio watakuelewa, ila wengi wanaotumia uji kufikiri hawatakuelewa! 🙏
 

Mkuu, hoja yako ni nyepesi sana. Kuna matukio yanapigwa ya kihalifu ukiangalia scenario unaona hawa ni ‘wazee wa kazi’ na hakuna mtu anatumia sare ya jeshi.

Huu ujinga ukinyamaziwa kwa akili za nchi hii si muda mrefu utasikia TLS wameingia mtaani kukamata wanaovaa suti nyeusi, baada ya hapo tutasikia MAT wanasaka watu wote wenye makoti meupe, then wanafunzi nao watatembeza msako kwa wenye mashati meupe wote nk nk.

Hicho kinachoitwa sare za jeshi, hao wanajeshi wanaweza vaa na kuingia nazo kazini kama uniform halali?
 
Hiyo scenario ni ya kufikirika sana!! Mara ngapi hilo limetokea hapa nchini kwetu?
 
Kwa hiyo Una Maana kwao issue ni wahalifu kuvaa Nguo zinazofanana na Sare zao wakati wakifanya uhakifu na Wala uhalifu wenyewe kwao sio issue ?
Naona unalitukana kabisa Jeshi letu
 
Hakuna utani kwenye hili la sarw za jeshi nyie chezeni muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…