Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

Kumbe wanasiasa wanaruhusiwa kuchanganya siasa na dini?

Alichokifanya mwanasiasa Samia Suluhu Hassan leo kumbe kinaruhusiwa au ndiyo mkuki kwa nguruwe?

Mimi ni Ponjoro ila kwahili HAPANA.
Get my art printed on awesome products_ Support me.jpeg
 
Siasa inaweza kuchanganywa na dini lakini Dini haiwezi kuchanganywa na siasa
 
Ukisema madhabahuni mama anaupiga mwingi, huchanganyi dini na siasa. Bali ukisema anapuyanga au anabutua butua utakuwa umechanganya dini siasa.
 
rais alikuwa kwenye harambee hakuwa mimbarini, tunachokataa ni kutumia mimbari kuhubiri siasa

double standard at work
 
Back
Top Bottom