Kumbe wanaume nao hulia kunako 6 by 6, experience yake ikoje? Please

Je anaelia mara tu baada ya kuchojoa nguo na hajapewa inakuaje? Kama binadamu wa usanii wa kupindukia. Ameshafanya nje sasa anataka ufike haraka apumzike anaanza kujiliza kana kwamba umemfikisha.

Mwanaume huyo?
 
af wewe leo kwenye story za kijiweni nimekutana na zingine zinazong'ata bana!
ehehehhe inabidi tuanzishe sredi kabisaaa!

Ha ha haaa...hebu tuletee hiyo technologia bi dada....usicheleweee
 
una nini nami shemeji?? saa yangu haijawadia!

tehe tehe tehe tehe,....shemeji na aheshimiwe na watu wote! Ngoja niweke taa yangu mafuta, nisijekuwa kama wale wanawali watano wapumbavu....nakesha niisubiria saa
 

Rafiki, katika watu ambao wakati wa uschana wangu nilikuwa nawa-admire kana kwamba nikasema ikitokea akaja bongo na kuniambia will u marry me nitasema yes hata kablba hajamalizia ni huyo mwanamuziki wa tatu kulia me love him the way alivo yaani........... nimesahau jina lake ila nahisi linaanziwa na T thanks sana for the song umenikumbusha mbali kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…