Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Come again Mkunde Original? sasa umeolewa au umewolewa lol
Hahahaaaaa sasa nimeolewa looh!!, kwani wewe unatafsirije kuwolewa? Wewe umeoa au umewowa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Come again Mkunde Original? sasa umeolewa au umewolewa lol
Mpoo mnaoliaga? Mpo wenye wababa wanotoa machozi na kulia kwa sauti? Tupeni experience.....
Mimi kwangu limekuwa jipya...hadi nimetamani kupata wa hivyo loool
CC Mtambuzi, Nivea, Arushaone Madame B, amu, Fixed Point Kaizer Bishanga, Baba V, Asprin, Filipo, @gfsonwwin Mamndenyi, Paloma, sosoliso, na wana MMU woote
Mkunde Original shemeji vp nae huwa analia ati?Hahahaaaaa sasa nimeolewa looh!!, kwani wewe unatafsirije kuwolewa? Wewe umeoa au umewowa?
Hahahaaaaa sasa nimeolewa looh!!, kwani wewe unatafsirije kuwolewa? Wewe umeoa au umewowa?
Ha ha ha haaa...wanachonga mzinga kutafuta batan lool....waneza onja maisha yao yote na batan asiipate. Uongo?
Mkunde Original shemeji vp nae huwa analia ati?
Kwa muktadha huu mi nimeoa...rahaje sasa? bora kama umeolewa, tupo ukurasa mmoja tunaweza kuelewana Mkunde Original
Hahahaaaaaa haya ................ :ear::ear:
Goood, now we :tape::tape:
Thanks kunikumbusha maana hata jina lake tu mie nilikuwa narojeka looh nilikuwa nimedata kwa kweli. Nikibahatika kupata baby boy miaka 3 ijayo ntamuita Tyrese.
Hahahahaaaaa BAK wakati huo nilikuwa kigoli kweli so ndoto nilizokuwa naota ni za kuolewa na si kuwolewa, I was believing in marriage and not in kuwolewa, my take was marriage is friendship laughing, playing like kids, singing, dancing and have little kuwolewa and is not a must or important.
Again thanks for giving my grooves back:music::music:
Mhhhhh! ulikuwa unarojeka siyo? 🙂🙂 Haya banaaaa 🙂🙂
hahahaaaa usitafsiri sana bana just rojorojo au wengine wanita nyoronyoro looh, back those days nowdays.................................
Usijali banaaa 🙂🙂....Today is a new day 🙂🙂...Enjoy the rest of your day.
hapana, anatoa akshi akshi tuu, ila wakati niko middle skuli nshakutana na kaka mmoja hv aiseee sikuwa na manjonjo wala machejo ila alilia kama amepewa taarifa ya msiba akilalama hajawahi kufanyiwa mambo hayo tangu aanze looh aliniacha hooiiiii sikuendelea nae tena maana badala ya mie kuenjoy the game nilijikuta namsikiliza kilio chake mwanzo mwisho. Maana alinitisha nilifikiri nimemuumiza kumbe mautam!!!!!
Ha ha haaa kwa hyo wewe unaliaga?
Ugali na mchicha vinapoa.