Hapa kinazungumziwa kilio, si mayowe.
Mayowe kayaanzishie thread yake kule chit chat.
Hivi punde mama Ngina atakuja kutoa USHUHUDA.....
Sisi wazee tuliozoea death of kokroch, ukimwaga chozi si ndo kujimana pumzi?
Hebu kantengenezee chai mkwe, leo bia haipandi.
My Dear,....kuna wengine hawawezi kupiga chafya mpaka wanuse ugolo.
Vivyo hivyo kwa baadhi ya wanaume wengine hawatoi ukelele mpaka kitandani.
Ila kama vipi mzibe na mto.
lol!...Kumbe ulisikiliza kwa makini ili uridhike kwamba kilio kile kilikuwa ni kilio cha maraha ya utamu 🙂🙂🙂 kisha ndio ukasepa zako taratibu baada ya miguu kuanza kufa ganzi kwi kwi kwi
wewe unataka kunisababishia mada kesi dadako, nimzibe na mto tena!
si atatoka amededi kabisa?
Tatizo kuna makabila na makabila..........
Wasukuma, Wanyamwezi na Wahehe ndio mahodari wa kupiga ukunga kunako uwanja wa fundi seremala.
Ila akina nyie,......thubutuuuuuuuuuuuuuuuuUUUUUUUUUUUUUUU
🙂🙂🙂
Madame B kwenye ile ishu umzibe na mto si atakufaa...kwa hali ya kawaida ukiwafinya hata hawasikiagi maumivu hadi badaae..sembuse anaeiliia....mada kesi ohooo
Analia mwanzo mwisho babu....from the begining hadi mwaisho..na analia kweli.....
I wish ningekutana nae lia lia lool
Bado nawaza kwa nini miguu ya kokutona ilikufa ganzi, ni sababu ya mautamu ya sauti ya shemeji?
Ngoja nitafakari kwa nguvu kadiri roho itakavyoniongoza, wasukuma wanapiga ukunga?
Daaaah hii nayo kali!!!!!!!!!!!!!!