Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili siyo jibu, unaliaga?
lol!...Kumbe ulisikiliza kwa makini ili uridhike kwamba kilio kile kilikuwa ni kilio cha maraha ya utamu 🙂🙂🙂 kisha ndio ukasepa zako taratibu baada ya miguu kuanza kufa ganzi kwi kwi kwi
Kiukweli nilistaajabu..na shem alivotoka nilitaka kucheka nikajizuia....
Na kulinyamazia nilishindwa...
Ha haaaa haaaa BAK amesema ni utamu tuuu
ha haaaa, siyo mimi, wewe, unaliaga?Kwa hisani ya New York City, Seattle, Washington na jiji la malaika AKA Los Angeles, CA wanakusalimia sana wanasema wanakumiss ile mbaya 🙂🙂
ha haaaa, siyo mimi, wewe, unaliaga?
utajuta leo, lol!
mimi hata siwamiss, waliniliza hadharani......
Kwa the way unavyosema unatamani lialia plz Usiingilie mapenz ya shost ako na wew upate kuliliwa..Dalili zko ni mbaya na lazm ukiwa unakutana na shemejio utawish na wew akulale.
Hahahahahah lol! Inadaiwa si miguu tu iliyokufa ganzi bali kuna maeneo mengine yalianza kufanya vitu vya ajabu ajabu lakini hapa jamvini kaamua kuyapotezea na kubakisha kufa ganzi kwa miguu tu kwi kwi kwi kwi
Hahah ni raha lakini nijuavyo yahitaji umaridadi na wala sio kulialia....
Yaani natamani invizibo angeruhusu utuwekeemo hicho kilio cha mwanaume hahaha