haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo halaf wasema uko single, nyie ndo mnawapanga"
Kiukweli mtu anaweza kua single bila kujali muenekano wake. Pia kua handsome haimanishi ndo unawapanga. Tulio tulia tupo.