Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

Mwanamke anamuogopa anamuogopa na kumuheshimu Sana MTU mwenye mvuto -Attraction , mvuto huwa hausomeki kwa nje hadi ukae na huyo MTU even a single moment.

Ukiwa handsome tayari unakuwa na first impression Ila utakapopewa nafasi unaweza ukakosa attraction so kuwa handsome unaweza kuwa na impact ikiwa utakuwa na attraction na impression.

Umeon a handsome boy wengi wameoa ugly women hii unadhani huwa inasababishwa na nini?


Pia kwa wanawake hii IPO pia anaweza kuwa ni mzuri anavutia Ila hana mvuto na hii huwa inapelekea kukuta mwanamke mzuri wa sura anaishia kuwa na ugly man mwenye mvuto .


So Mvuto ndo kila kitu
Nakubaliana na wewe doctori,,naamini uzuri unazoeleka baada ya mda lkn mvuto wa ndani ndio kila kitu
 
Nakumbuka facebook ndo inaanza anza nikachart na pisi hlf ikaniambia tukutane mlimani city enzi hizo ndo habar ya mjini,,kwakuwa nilikuwa vibaya nikakosa kombe

Tutafute hela 😂😂
 
Hlf muwe mnawasalimia pisi kali,,kuna class mate wangu mmoja form six na pisi kali kweli,aliniambiaga smtm anaingia ktk daladala anakutana na mkaka mkali basi anatamani hata asalimiwe lkn mwamba anakaza fuvu 😂😂
😂😂😂
 
We acha tu my brown sugar pamoja na mistari yote ile na masong ya ma lavi davi lkn kala miwani ya mbao,,ila mungu anamuona 😂😂
hii sasa kamba aseeee😂😂🙌🏾
 
Ndo kila siku utawasikia,'navutiwa na mwanaume mrefu mweusi',ni waoga wa competition!
 
Back
Top Bottom