Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

Ila kuna kitu kimoja nimewahi kukisikia kwa pisi kali inasema,,wanaume wangejua wasinge waogopa pisi hata kidogo,,smtm pisi kali wanataka watokewe hlf wadau wanajishtukia,,,kuwa mwanaume tu ni confidence tosha
Confidence ya mwanaume ipo kwenye hela sijawahi kuona mwanaume anapesa then akawa muoga..
Tutafute pesa!
 
Ukweli ni kwamba tunawaona km kina delicious ila hatuwaogopi
 
Sasa jamani likaka linakuwa lizuri kunishinda aka! Sitaki
 
nmekuachia wewe na brown sugar wakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
We acha tu my brown sugar pamoja na mistari yote ile na masong ya ma lavi davi lkn kala miwani ya mbao,,ila mungu anamuona πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fungua code doctori


Mwanamke anamuogopa anamuogopa na kumuheshimu Sana MTU mwenye mvuto -Attraction , mvuto huwa hausomeki kwa nje hadi ukae na huyo MTU even a single moment.

Ukiwa handsome tayari unakuwa na first impression Ila utakapopewa nafasi unaweza ukakosa attraction so kuwa handsome unaweza kuwa na impact ikiwa utakuwa na attraction na impression.

Umeon a handsome boy wengi wameoa ugly women hii unadhani huwa inasababishwa na nini?


Pia kwa wanawake hii IPO pia anaweza kuwa ni mzuri anavutia Ila hana mvuto na hii huwa inapelekea kukuta mwanamke mzuri wa sura anaishia kuwa na ugly man mwenye mvuto .


So Mvuto ndo kila kitu
 
Hata wenye magari kuna wanawake wanawaogopa kwa hoja hiyo hiyo
 
mleta unaomeaknwa unashindwa kutengenisha baina ya hondsome na sharo au chekbob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…