Kumbe wanawake nao wanaogopa wanaume ma "handsome" wanahisi ni ma "player"

Nakubaliana na wewe doctori,,naamini uzuri unazoeleka baada ya mda lkn mvuto wa ndani ndio kila kitu
 
Nakumbuka facebook ndo inaanza anza nikachart na pisi hlf ikaniambia tukutane mlimani city enzi hizo ndo habar ya mjini,,kwakuwa nilikuwa vibaya nikakosa kombe

Tutafute hela 😂😂
 
Hlf muwe mnawasalimia pisi kali,,kuna class mate wangu mmoja form six na pisi kali kweli,aliniambiaga smtm anaingia ktk daladala anakutana na mkaka mkali basi anatamani hata asalimiwe lkn mwamba anakaza fuvu 😂😂
😂😂😂
 
We acha tu my brown sugar pamoja na mistari yote ile na masong ya ma lavi davi lkn kala miwani ya mbao,,ila mungu anamuona 😂😂
hii sasa kamba aseeee😂😂🙌🏾
 
Ndo kila siku utawasikia,'navutiwa na mwanaume mrefu mweusi',ni waoga wa competition!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…