Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawezaje kukamata kwa hisia,uko wapi weledi wa kazi ikiwa fikra zikikutuma tu bila hata uchunguzi unakamata tu.Kama anajihusisha na siasa kali za mrengo wa makhawaarij basi usihangaike hata kumuulizia, watu watii utawala uliotawalishwa juu yao, muda wa kuwa hawajatuamrisha kufanya madhambi na maovu.
But usichafue masunni kwasababu hayo mambo ya extremism hujificha nyuma ya usunni lakini hawana fungu huko.
Angekuwa mmoja sawa,idadi imefika kumi wamenyakuliwa kwa style moja,kuna mmoja aliwauliza vipi mbona mnateka ndugu yangu,wakasema wao askari polisi,lakini hawakuwa kwenye uniform ya kazi,jamaa alipokomaa nao wakachomoa bisibisi kweny boda boda yake wakamwambia tutakuuwa acha kutifuatilia ikabidi jamaa akimbie. Hii hatari.
Usisahau kunywa dawa zako Kwa wakati ndugu STUXNET.Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likiongozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.
Wasuni ndio dhehebu pekee kwa waislaam waafrika tanzania. Sasa hawa wanaowateka wasuni wanaweza kua nani?Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi.
Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa Mathias Kibaha na kumtupia kwenye buti ya gari na kuondoka naye. Kijana huyo kwa jina anaitwa Shahibu Saidi, mkazi wa mtaa wa Bungo, mwenye imani ya dini ya kiislamu dhehebu la Sunni.
Ndugu wa mhanga huyo wamejaribu kufuatilia vituo vyote vya polisi Kibaha bila mafanikio kwa kuambiwa kuwa,Jeshi la Polisi Wilayani Kibaha halina taarifa hizo. Hili ni tukio la kumi ndani ya wiki mbili sasa,likiwalenga vijana hao wa Kisunni.
Matokeo kama haya yanaongeza hofu kwa wananchi na familia zao, lakini yamezua taharuki kubwa kwanini walengwa wanekuwa ni vijana wenye imani ya kiislamu dhehebu la Sunni tu.
Nachukua fursa hii kuhisihi serikali ya JMT kulitazama kwa umakini mkubwa jambo hili,kwani licha ya kuongeza hofu kwa wananchi linaongeza chuki ya wananchi dhidi ya serikali yao. Pia niwakumbushe kuwa madaraka na mamlaka ya serikali yatatoka kwa wananchi na msingi mkuu wa serikali ni ustawi kwa wananchi wake,kama nchi haikaliki ni mbadala wa kuwahakikishia amani wananchi.
#bringbackShahibunawenzake
#peaceandharmony
Hao jamaa hawakamati mtu hovyo wameshafanya uchunguzi wao na wamejiridhisha.Unawezaje kukamata kwa hisia,uko wapi weledi wa kazi ikiwa fikra zikikutuma tu bila hata uchunguzi unakamata tu.
Well saidWasuni ndio dhehebu pekee kwa waislaam waafrika tanzania. Sasa hawa wanaowateka wasuni wanaweza kua nani?
Mambo ya waislam huweza kuzalisha hatari kwa kuvuruga amani. Vyombo vya usalama yafaa kujua kwa uhakika kitu gani kinaendelea.
Una uhakika yupo motoni?Sukuma Gang bado wapo wanaendeleza pale aliposhia mungu wao aliyeko motoni sasa hivi
Hawa huwa hawakosei. Na huyo jamaa ndio basi tena.Hao jamaa hawakamati mtu hovyo wameshafanya uchunguzi wao na wamejiridhisha.
waliomumuua mwandishi kwa bomu wote walikamatwa na wakapelekwa mahakamani tukishuhudia,ulimboka na kibanda wapo hadi leo watatuambua kilichotokea hawakuuliwa kama kipindi cha awamu ya 5 amabpo mamia ya raia waliuliwaAwamu yetu pendwa sana ya nne.
Ulimboka alingolewa meno kwa nyundo , kibanda kumwagiwa tindikali na mwandishi wa habari kuuwawa kwa kulipuliwa bomu tumboni.
Hayo ni moja wapo ya mafanikio ya awamu ya nne.
Ndugu Fogoh2.waliomumuua mwandishi kwa bomu wote walikamatwa na wakapelekwa mahakamani tukishuhudia,ulimboka na kibanda wapo hadi leo watatuambua kilichotokea hawakuuliwa kama kipindi cha awamu ya 5 amabpo mamia ya raia waliuliwa
yes ni bora na afadhali kuliko ule wa awamo ya tano,kwanza mifano yako ni hiyo miwili wakati awamu ya 5 mifano ni mamia kwa mamia,pili afadhali uchunguzi ulifanyika na wahusika kama waliomuua mwandishi walishitakiwa na walihukumiwa ila yule mpumbavu wa awamu ya 5 alikataza hata watu kumuombea Tundulisu ,hao waliodhuriwa awamu ya 4 hata serikali ilishiriki kuwatibia nje ya nchi lakini yule mwenda wazimu alikataza hata watu wasemtembelee hospitali na alimnyima pesa ya matibabu.kwa kweli afadhali sana awamu ya 4 kuliko ushetani wa awamu ya 5Ndugu Fogoh2.
Vp wasiojulikana wa Awamu ya nne walifanikiwa kumrudishia Dr Ulimbokua MENO yake waliyoyang'oa Kwa praiz bila ganzi kinywani?
Kwako wewe unyama Ule una Afadhali??😳😳😳
Kabisa mkuu hawa vijana hujisababishia matatizo wenyewe.Hawa huwa hawakosei. Na huyo jamaa ndio basi tena.
Afadhali ipi?yes ni bora na afadhali kuliko ule wa awamo ya tano,kwanza mifano yako ni hiyo miwili wakati awamu ya 5 mifano ni mamia kwa mamia,pili afadhali uchunguzi ulifanyika na wahusika kama waliomuua mwandishi walishitakiwa na walihukumiwa ila yule mpumbavu wa awamu ya 5 alikataza hata watu kumuombea Tundulisu ,hao waliodhuriwa awamu ya 4 hata serikali ilishiriki kuwatibia nje ya nchi lakini yule mwenda wazimu alikataza hata watu wasemtembelee hospitali na alimnyima pesa ya matibabu.kwa kweli afadhali sana awamu ya 4 kuliko ushetani wa awamu ya 5