Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

waliomumuua mwandishi kwa bomu wote walikamatwa na wakapelekwa mahakamani tukishuhudia,ulimboka na kibanda wapo hadi leo watatuambua kilichotokea hawakuuliwa kama kipindi cha awamu ya 5 amabpo mamia ya raia waliuliwa
Hao mamia waliouliwa ni kina nani??
 
Ndugu Fogoh2.

Vp wasiojulikana wa Awamu ya nne walifanikiwa kumrudishia Dr Ulimbokua MENO yake waliyoyang'oa Kwa praiz bila ganzi kinywani?

Kwako wewe unyama Ule una Afadhali??😳😳😳
NDIO
 
Hao mamia waliouliwa ni kina nani??
Nchi kama Tanzania ambayo wenyewe wanakiri kuwa ni waoga wa polisi na ndio maana hata kufanya maandamano tu huwa wanaogopa, sasa nchi kama hiyo kuna haja ya kuuwa mamia ya watu kwa lipi?
 
Magufuli alikuwa anamiliki kundi la WASIOJULIKANA yeye mwenyewe likiongozwa na Makonda, Musalika Makungu, Heri Kisanduku, Bwire, Sabaya.
Hii ni kama kusema wote ni wabakaji lakini mmoja ana afadhali sababu anakupaka mafuta kabla hajakuingilia. Akili yako haipo sawa.
 
Hao mamia waliouliwa ni kina nani??
Wakina ben saa nane na wakina zory gwanda mkuu ,na wale waliokua wanaokotwa kwenye viroba,tunashukuru tundulisu aliokoka ila nae tungemuweka kwenye listi,vp ulitaka afe mamaako ndio ujue au?
 
Hii ni kama kusema wote ni wabakaji lakini mmoja ana afadhali sababu anakupaka mafuta kabla hajakuingilia. Akili yako haipo sawa.
Acha ushoga WILE !! Angalia sasa unatusimulia jinsi unavyopakwa mafuta na mabasha wako kabla hawajakupelekea moto
 
Wakazi wa Mkuranga, Kibiti na na Rufiji ongeza na akina Ben Saanane, Scario Mxomoro, Azory Gwanda, Akwilina etc
Hizo mass graves ziko wapi??

Tuonesheni makaburi yao??

Kawaida mtu muovu ndio huzunguka kujifanya mwema.
 
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,tunaojua haya tunajua yapo toka enzi,na hayahusiani na rais wala waziri mkuu au kiongozi yeyote wa muhimili.

Ni matokeo tu ya kazi mbali mbali zinazoendelea,za kiusalama nk.
Yaani usalama ninaoamini mimi wateke mtu badala ya kumakamata kwa njia zao sahihi walizosomea na kumhoji badala yake wamteke kwa Noah? Bado hujanishawishi.

Vyombo vyote vya usalama Tz na Duniani vina taratibu zinazoeleweka.

Kinyume na hapo ni wasiojulikana tu
 

Acha vijana Wamtete Allah. Jannah ipo kwa ajili yao
 
Hizo mass graves ziko wapi??

Tuonesheni makaburi yao??

Kawaida mtu muovu ndio huzunguka kujifanya mwema.
Kwani ulikuwa wapi wakati maiti zilikuwa zinaelea baharini? Hii ndiyo shida ya watu mnaishi Nangurukuru au Kazuramimba halafu mnatubishia tulioko Dar!!
 
Kwani ulikuwa wapi wakati maiti zilikuwa zinaelea baharini? Hii ndiyo shida ya watu mnaishi Nangurukuru au Kazuramimba halafu mnatubishia tulioko Dar!!
Huna unalojua wewe zaidi ya kujaa chuki tu
 
Kuna wapuuzi waliwaaminisha kwamba yale yalikuwa maagizo ya magufuli,
Acheni kupotosha. Kiranja wa wasiojulikana alikuwa Magufuli, Hawa wa hivi Sasa ni wahuni tu.

Magufuli alikuwa shetani na nusu
 
Mleta Mada mbona kosa la wasiojulikana hapo, Maana maelezo yako yamenyooka na sisi wa Tanzania amani tunaipenda sana
 
Akihojiwa na BBC baada ya kustaafu kwanini Shirika lake lilikuwa linateka, kutesa, kupoteza na wakati mwingine kuua mateka wao, mwanzilishi wa Shirika la Kijasusi la iliyokuwa Afrika Kusini ya Makaburu lililoitwa BOSS, Hendrik van den Bergh badala ya kujibu naye alimuuliza mwandishi hiyo, " Nitajie Shirika kama la kwangu duniani ambalo halifanyi hivyo"! Hakupewa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…