Kumbe Watanzania Wana Uwezo Kuwa Mabilionea, Walikosa Mitaji na Mbinu!. TotalEnergy Mkombozi, Yamwaga Fursa za DODO Nchi Nzima!. Tuchangamkie Fursa?.

Ina maana Bakhresa hakuingia hata darasa la Chekechea
Nashukuru kwa Taarifa hii...
Bilioneo wa ukweli number moja wa Tanzania mwenye impact kubwa kwa maisha ya wengi, naomba nisimtaje jina, ila hakusoma hata darasa moja zaidi ya elimu ya madrasa!.

...naweza kukubali na mtazamo huu wa "impact" kwani ni kwasababu za kuwa mfanyabiashara maarufu ndipo kulimpeleka awe bilionea. Na isitoshe alikuwa bilionea hata kabla hajaanza kuitwa 'bilionea.

Hilo juu liliwafanya watu kuwa wafanyabiashara kwanza...utakumbuka wimbi la wauza sikirimu...sasa impact iliyopo kwa sasa kumuita bilionea inafanya tufikirie kuwa mabilionea(hakuna kosa kuwa tajiri na hela nyingi) badala ya kuwa na weledi kwa shughuli za kuingiza kipato. Kuajiriwa au kufanya biashara.
 
Homework. find equation constants kwa kutumia population ya sensa zilizopita hatimaye kwa kutumia equation predict future population.

Lakini kuna logic pia, Tanzania ilitangaza mwaka 2012 tulikuwa milioni 44, sasa ndani ya miaka 10 tumeongeza watu milioni 16 ? Na kama ni hivyo ina maana miaka 20 ijayo tutakuwa milioni 100? Kuna kitu hakipo sawa aidha 2012 walidanganya au hiyo milioni 60 siyo ya kweli, hakuna jamii inaweza kuongeza karibia watu milioni 20 ndani ya miaka 10!
 
Hata china ilikua uwingi wa watu ni shida kabla ya kiongozi aliyefuata baada ya mjamaa Mao(Deng) kuwaambia wasome na waachane na taboo...waliposoma wakajua kufanya biashara,kutengeneza vitu...china ukiwa na bidhaa,una uhakika wa kuuza units 100m,Leo china anamkopesha Hadi mzungu ilhali wakiidhihaki kuiita baisko kantri
 
Nadharia ya population ya Malthus inadai population huongezeka Mara mbili kila baada ya miaka 25
 

Sasa kwa nini China ilifanya one child policy ili kupunguza watu kwa lazima ?
 
Barbarossa kwa nini hukulisema hili kipindi kile cha Magufuli akiwa anahimiza watu wazaliane kwa fujo kisa anatoa elimu bure? Au ufahamu umekuja baada ya Magufuli kufariki?
 
Hata Namanyere. Labda pump zitakuwa chache. Total wapo karibia kila mji mdogo. Kwani Mikumi ni jiji?
 
Rubbish , mnashindwa kunail mzizi wa tatizo ambao ni CCM , mnazunguka kuandika phmba humu , Idiota
 
Mkuu naomba kwa ufupi DODO ni nini ?

Nimejaribu kucheki paragraph ya kwanza sioni jibu bali maswali mengine naomba kama hutojali kuweka summary hio itasaidia watu wengine kujua kuna nini kabla ya investment ya muda wao kumalizia story yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…