#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Hii kitu sasa, ndiyo ilipaswa February kikao cha Bunge, Ayubu awaandae wabunge wajadili, siyo kuropokea huku mitaani.
Mbunge mmoja anapeleka dharura, yeye Spika anaruhusu mjadala. Bunge live wabunge wanalipuka, serikali inaambiwa ije na majibu. Wananchi tusingemkasirikia mgogo.

Everyday is Saturday...........................................😎
 
Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Piga hesabu we zumbukuku unaona pesa ndgo hzo kupewa nyie watto wa ulijo hapo kila mla ulojo anaondoka na pesa yake
 
Majitu yana chuki Sana na Samia,vinatafutwa visingizio vya kijinga mara anateua Waislam,mara anapendelea Zanzibar,mara Urais umemshinda,saiz wako na single mpya mara ana homa ya 2025 hajiamini ,mara serikali ya mpito.

Yaani yote haya ni wivu kwani ana wa outperform kwenye kila sekta
 
Hiyo ni asilimia 0.0154
 
Ration ya hiyo pesa inawatosha kuendeshe ... serikali yao..., na kubaki kwa matumizi ya kugawa mishahara kwa watumishi...
In approximately Zanzibar populations is 1.3 mil.
Acha upunguani wako wewe,unajua hata bajeti ya serikali ya Zanzibar wewe?
 

Yani asilimia 20 ya mkopo wanapewa watu million moja aiseeees
 
Aisee,,,kibilioni 200 kimewauma kishenzi 😁 je, kabla ya ujio wa mama samia znz walikuwa wanapata nini??
Mwendazake alikuwa anawadhulumu stahiki yao.

Kama wameumia wavunje Muungano kwani anautaka si ni Bara?

Mwisho , Serikalini imepata mkopo usio riba kutoka Badea til.7,, kwenye pesa hizo Zanzibar itapata til.1 sawa na 14%

 

Asilimia 20 ya mkopo wa trillion 1.3 wamepewa wa zanzibari ...........
 

Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 

Hakika !
 
Ngoja niongezee kidogo.

Baada ya kupatikana 1.3t
Zanzibar wakapewa bilioni 200 na kitu kulingana na rate ya dollar.

Zikabaki kama trilioni 1 kwa ajili ya bara, walivyoshtuka kuna madeni yana mature, ile nusu iliolipwa ilitoka kwenye mgao wa bara tu, zenji wakabaki na billion 200 zao.
 

Jibu hoja kijana kama watu million moja wamepewa 200billion kutoka kwenye 1.3Trillion,Je watu 4 wanapaswa kupewa kiasi gani kutoka kwenye hiyo 1.3Trillion?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…