#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

kumekucha huku.. now kuna kundi la Watanganyika wasio utaka muungano kwa madai Zanzibar inapendelewa.
 
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!
Sasa asilimia 20 zote za nini kwenye hako kamkoa
 
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!
Yaani Zanzibar wamepewa 20% ya pesa yote iliyokopwa Kwa kweli mama amejua kuwapendelea yaani katika 1.3 trillion Zanzibar imepelekwa 200 billion tzsh. Zanzibar ni Sawa na wilaya moja ya Tanganyika wamepewa mahela yote hayo nasema mama hastahili kuwa Rais wa hii nchi hata kidogo . Upendeleo mkubwa kuwahi kutokea tokea hii nchi ipewe Uhuru . Tena hizi pesa walipaji ni watanganyika wako wapi akina Lissu wa kulisemea hili.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!

Hizo ni pesa nyingi sana kwa hiyo wilaya yenye watu million moja na ukitaka kujua kuwa hiyo ni pesa nyingi sana kwa hiyo wilaya tafute ujue majiji kama Dar ,Mwanza na Pwani yenye watu kuanzia Million 2 + yamepata Tsh ngapi ndio utaelewa zanzibar hawakustahili pesa nyingi kiasi hiki!
 
Ration ya hiyo pesa inawatosha kuendeshe ... serikali yao..., na kubaki kwa matumizi ya kugawa mishahara kwa watumishi...
In approximately Zanzibar populations is 1.3 mil.
 
Aisee,,,kibilioni 200 kimewauma kishenzi 😁 je, kabla ya ujio wa mama samia znz walikuwa wanapata nini??
 
Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale

Hivi wewe unajua hata hesabu kweli? Sasa kama Zanzibar yenye watu wasiozidi million moja inapewa 200billion kwa hesabu za kawaida Dar ,Mwanza zinatakiwa kupewa billion 700 kila mmoja!

Umeelewa wewe?
 
Back
Top Bottom