Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Sasa Zanzibar peke yake bil.200, Dar Es Salaam yenye watu mil.6 imepata kiasi gani?
Kwa mahesabu ya kawaida Dar inatakiwa kupewa billion 700 kulingana na uwiano wa billion 200. Kwa watu million 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Zanzibar peke yake bil.200, Dar Es Salaam yenye watu mil.6 imepata kiasi gani?
Hicho kimkoa chenye watu milioni 2 kinakula bilioni 230! Yani sijui kwanini hakaendelei kama Hong-Kong. Hovyo kabisa!
Job Ndugai alikuepo na haja ya kuona mkopo hauna Faida yeyote Ile kwasababu pesa nyingi zimepelekwa Zanzibar. Kwanini wapinzani wa sasa wanashindwa kuwa jasiri kama marehemu Mch Christopher Mtikila alivyokuwa anazungumzia haya masuala ya jinsi Tanganyika inavyoinufaisha ZanzibarKwa mahesabu ya kawaida Dar inatakiwa kupewa billion 700 kulingana na uwiano wa billion 200. Kwa watu million 1
Wewe bado uko na huyo mzee tu(kwenye avatar)?! Au hujui kubadilisha picha??😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣Bilioni miambili kwa Zanzibar ni hela nyingi mno....hivi bajeti yao kwa mwaka ni bei gani?
Sio Dar es Salaam, wilaya tu moja ya Dar.Hiyo pesa ni nyingi sana
Dar es salaam ina watu wengi kuliko Zanzibar lakini hawajapewa hicho kiasi
Mbona ndege zilizo agizwa na serikali mbili zimegaiwa zanzibar zitakuwa mali ya wazenji au ujui,Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Hariri.Mjinga wewe watu bilioni moja kupewa milioni 200 Kuna shida Gani, bara tunatiana tupo milioni sabini Sasa Kalale
Jaribu kuwa mtu mzima hata DK 2 acha utotoChato Airport umeisahau?
Vp unatokea Mchamba wima,Kibanda Maiti au kilima nyege!!?kama mmeumia zanzibar kupewa huo mgao badi vunjeni muungano mbona mnaung'ang'ania? vilaza nyie
Hilo jamaa huwa ni tutusaKwa hiyo ujinga wa chato unafanya huu ujinga ndio uonekane ni ujinga mzuri?
Ngoja nikupe hesabu.Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Wewe ndiyo uwache utotoJaribu kuwa mtu mzima hata DK 2 acha utoto
Nani kakwambia kuwa njiwa anaishi kiota kimoja na shorwe?Kwa hiyo ujinga wa chato unafanya huu ujinga ndio uonekane ni ujinga mzuri?
Hiv hizo pesa huwa znafanya kitu gan? Mbona hatuoni hayo wanayoyasifia kufanya kwenye majukwaa yao ya hovyo.
Ina maana watu walifahamu tofauti wakati hilo suala lilikuwa ni public knowledge since day one? Na walidanganywa ZNZ walipewa kiasi gani?Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
hujajibu swali langu kuhusu mapato ni kweli au si kweliHivi zanzibar mnadhani mkijitoa kwenye muungano tunashindwa kuijenga mafia au bagamoyo kwanza nyie ni mkoa mvivu sana kuliko mikoa yote Tz
Mgawanyo wa mikopo mingine ambayo ilichukuliwa na JMT ilikuwaje?Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dr Sada Mkuya amesema wamepokea dolla milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dr Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!