Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Bajeti ya mwaka kwa SMZ ngapi na makusanyo kwa mwaka ni ngapi?Vijisenti tuu hivi vinawatoa roho. Kweli machogo mna shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajeti ya mwaka kwa SMZ ngapi na makusanyo kwa mwaka ni ngapi?Vijisenti tuu hivi vinawatoa roho. Kweli machogo mna shida.
Mkome na uroho wenu tuliwaita kuungana!??? Na badoHizo ni hela nyingi sana kwa huo mkoa uliochangamka
Kwani alimwambia mwenzake waungane si Nyerere sasa kelele za nini!!? Mbona kila zanzinar ikitaka kujiiondoa kwenye muungano mnatuma majeshi kuwasulubu!!? Wazanzibar wako tyr kuondoka hata leo nyie wa bara ndio mna shobo tu!!Chato iko Tanganyika na sio nchi nyingine Zanzibar haiwezi kujengwa kwa expence za watanganyika haiko hivo na muungano huu hauna maslahi kwa Tanganyika, hakuna mtanganyika anaweza kua Rais Zanzibar hayupo
Mbwa wewe usie na marindaVijisenti tuu hivi vinawatoa roho. Kweli machogo mna shida.
Zanzibar haina faida yoyote kwa bara ni bora hata kuungana na Burundi kwanzaa raia wake wajinga hawana elimu wavivuKama mmeumia Zanzibar kupewa huo mgao badi vunjeni muungano mbona mnaung'ang'ania? vilaza nyie
Rais anapeleka pesa zetu kwao ndio maana anakopa tu kama shamba la bibi akeWaziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.
Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.
Mapinduzi Daima!
Atalipa aliyekopa na si nyumbandogo.Haina shida maadam wakati wa kulipa tutalipa wote
Hawajui hawa waelezeeeZanzibar ni nchi kamili.
Mkuu Msijisahaulishe Zanzibar ni Upande mmoja wa MuunganoUkizijumlisha hela za COVID 19 zilizopelekwa Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Tanga & Morogoro bado haziifikii hela iliyopelekwa Zanzibar
Itapendeza kama mtashangilia hivi hivi hata baada ya mama yenu kutoka.midomo yenu semeni wala hamlipii vat wala kodi.
ila madam ndio prezdent.
kele ya chura haizuii tembo kunywa maji.
halafu nyonyo mwenyewe
Mliitwa kuungana!??? Si kiherehere chenu !?Sio Dar es Salaam, wilaya tu moja ya Dar.
Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni, population 1.9 million, kuna watu wengi kuliko Zanzibar.
Wazanzibari wakipewa wapagawane, hawawezi kujaza mashamba, nyumba, vyumba na viwanja vya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni kwa sababu hawatimu 1.9 milioni people.
Tunawezaje kugawana maslahi sawa na ki tarafa kimoja tunakiita nchi ?
Nyerere alituuza kama nguruwe kuwatumikia Wazanzibar.
Vunja muungano waznzbr wako tyr na ndo wanachotaka ili watoke kwenye makucha ya mkoloni bara a.k.a kafiriNdio maana Samia,akihojiwa ni mkali na majibu ya hovyo,kumbe anaijenga zbar yake, haiwezekani mkoa Kama Zanzibar ambao ni mdogo kuliko Moro ,na idadi yao ni ndogo kuliko mkoa wa dar,halafu wapewe pesa nyingi kiasi hicho!!
Kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania,kwa hili tuko pamoja na ndugai, atake ,asitake ndugai bado ni spika ,Hadi mhula wake uishe .na 2025 tunaenda na ndugai na sio yy.Vunja muungano waznzbr wako tyr na ndo wanachotaka ili watoke kwenye makucha ya mkoloni bara a.k.a kafiri
Kakojowe ukalaleKwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania,kwa hili tuko pamoja na ndugai, atake ,asitake ndugai bado ni spika ,Hadi mhula wake uishe .na 2025 tunaenda na ndugai na sio yy.