#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

#COVID19 Kumbe Zanzibar imepata Tsh 200 bilioni tu katika ule mkopo wa COVID tofauti na inavyoelezwa na Wanasiasa uchwara!

Chato iko Tanganyika na sio nchi nyingine Zanzibar haiwezi kujengwa kwa expence za watanganyika haiko hivo na muungano huu hauna maslahi kwa Tanganyika, hakuna mtanganyika anaweza kua Rais Zanzibar hayupo
Kwani alimwambia mwenzake waungane si Nyerere sasa kelele za nini!!? Mbona kila zanzinar ikitaka kujiiondoa kwenye muungano mnatuma majeshi kuwasulubu!!? Wazanzibar wako tyr kuondoka hata leo nyie wa bara ndio mna shobo tu!!
 
Kama mmeumia Zanzibar kupewa huo mgao badi vunjeni muungano mbona mnaung'ang'ania? vilaza nyie
Zanzibar haina faida yoyote kwa bara ni bora hata kuungana na Burundi kwanzaa raia wake wajinga hawana elimu wavivu
 
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha miundombinu.

Dkt. Mkuya amesema watajenga madarasa na hospitali katika wilaya zote Unguja na Pemba.

Mapinduzi Daima!
Rais anapeleka pesa zetu kwao ndio maana anakopa tu kama shamba la bibi ake
 
Mzalendo wa kwetu bara ameliona hilo tunapigwa kijinga mikopo inaishia Zanzibar
Screenshot_20220108-154926~2.jpg
 
Ukizijumlisha hela za COVID 19 zilizopelekwa Dar, Pwani, Lindi, Mtwara, Tanga & Morogoro bado haziifikii hela iliyopelekwa Zanzibar
Mkuu Msijisahaulishe Zanzibar ni Upande mmoja wa Muungano
 
Ndio maana Samia,akihojiwa ni mkali na majibu ya hovyo,kumbe anaijenga zbar yake, haiwezekani mkoa Kama Zanzibar ambao ni mdogo kuliko Moro ,na idadi yao ni ndogo kuliko mkoa wa dar,halafu wapewe pesa nyingi kiasi hicho!!
 
midomo yenu semeni wala hamlipii vat wala kodi.
ila madam ndio prezdent.
kele ya chura haizuii tembo kunywa maji.
halafu nyonyo mwenyewe
Itapendeza kama mtashangilia hivi hivi hata baada ya mama yenu kutoka.
 
Sio Dar es Salaam, wilaya tu moja ya Dar.

Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni, population 1.9 million, kuna watu wengi kuliko Zanzibar.

Wazanzibari wakipewa wapagawane, hawawezi kujaza mashamba, nyumba, vyumba na viwanja vya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni kwa sababu hawatimu 1.9 milioni people.

Tunawezaje kugawana maslahi sawa na ki tarafa kimoja tunakiita nchi ?

Nyerere alituuza kama nguruwe kuwatumikia Wazanzibar.
Mliitwa kuungana!??? Si kiherehere chenu !?
 
Ndio maana Samia,akihojiwa ni mkali na majibu ya hovyo,kumbe anaijenga zbar yake, haiwezekani mkoa Kama Zanzibar ambao ni mdogo kuliko Moro ,na idadi yao ni ndogo kuliko mkoa wa dar,halafu wapewe pesa nyingi kiasi hicho!!
Vunja muungano waznzbr wako tyr na ndo wanachotaka ili watoke kwenye makucha ya mkoloni bara a.k.a kafiri
 
Vunja muungano waznzbr wako tyr na ndo wanachotaka ili watoke kwenye makucha ya mkoloni bara a.k.a kafiri
Kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania,kwa hili tuko pamoja na ndugai, atake ,asitake ndugai bado ni spika ,Hadi mhula wake uishe .na 2025 tunaenda na ndugai na sio yy.
 
Ile 4E="ruaharuaha, post: 41318786, member: 476523"]
Hiyo ni 16% kwa Idadi ya Watanzania wote, ambao ni chini ya 4%.

Of course SSH anasimamia maslahi ya Zanzibar. Hakuna jipya hapo.

Ndio maana unaweza kumfukuza yoyote anayehoji na kujali maslahi ya Watanganyika. Watanzania wote milioni 60.
[/QUOTE]

Ile 4 percent iliyoahidiwa Zanzibar kupewa ilipoanzishwa Benki kuu, italipwa Lini kwa Wazanzibari Tokea mwishoni mwa 60s
 
Kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania,kwa hili tuko pamoja na ndugai, atake ,asitake ndugai bado ni spika ,Hadi mhula wake uishe .na 2025 tunaenda na ndugai na sio yy.
Kakojowe ukalale
 
Kama ni kwa idadi ya watu walipaswa kupewa 35b na kama ni 4.5% ya mgawo wa mikopo toka nje ni 58b labda kuna sababu za msingi kupewa kiasi hicho
 
TE="green rajab, post: 41326197, member: 332448"]
Rais anapeleka pesa zetu kwao ndio maana anakopa tu kama shamba la bibi ake
[/QUOTE]

Atakuletea wewe nyumbani kesho, endelea kulala tu
 
Back
Top Bottom