Kumbe Zitto kapangiwa cha kusema mkutanoni

Kumbe Zitto kapangiwa cha kusema mkutanoni

Kabisa. Na mkutano huu ulikuwa umeandaliwa rasmi kwa ajili ya kuwaingiza chaka CHADEMA. Wamefanya vizuri sana kutohudhuria. Imeleta impact kuliko wangehudhuria.
Ndugu zetu wazareeendo wa nchi hii na wapenda amani haki na usawa.

Lazima mjue kuwa daima cdm haijawahi kufanya kosa la kimkakati .

Wao wakicheza ngoma usiku cdm inacheza mziki huo alfajiri.
 
kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
UNGEKUWA NA AKILI UNGEJIFUNZA KITU HUONI MAMA ALIVYOBADIRIKA ALIPOKUWA ANAONGELEA HILO SUALA LA MBOWE? YAANI INAONYESHA HAPO MSAMAHA NI MDOGO KULIKO JELA
 
kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
Ndo maanake
 
Back
Top Bottom