Kumbe Zitto kapangiwa cha kusema mkutanoni

kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
bila wewe ndiye ulimpangia
 
Mleta mada mimi nakubaliana na wewe kabisaa,Zitto mmmm!!haaminiki ametumika tu kuzindua mada,hebu fikiria CDM wakimuuliza je ZITTO tulikutuma utusemee??maana sisi tulisusia huo mkutano.baadae hotuba nzima ni CDM chama makini.
 
Naanza kutafakari kwa nini na ZZK anashabikia mkataba wa bandari kwamba ni mzuri usainiwe, kumbe yuko na mama.
 
Sababu za hayo madhila ya akina Mbowe zinazidi kujidhihirisha
 
kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
MANENO YA UZUSHI YASIYO NA USHAHIDI..........
 
Kabisa. Na mkutano huu ulikuwa umeandaliwa rasmi kwa ajili ya kuwaingiza chaka CHADEMA. Wamefanya vizuri sana kutohudhuria. Imeleta impact kuliko wangehudhuria.
Nililiona hili kabla, kwamba Hangaya anatafuta namna flani ya kuachana na Mbowe itakayomwacha na heshima thats all.

Kauli ya Zitto kwamba Mbowe asamehewe ni ya kilaghai kwakua msamaha huja kwa mkosefu. Na Samia naye akajifanya kusameheana kupo ili kuonesha umma kuwa mbowe kasamehewa kitu ambayo si sahihi.
 
Camp ya mama imeliweka lile saliti kimkakati

Lijifanye linapiga magoti halafu mama amuachie kwa sababu hiyo

Mama amegundua maadui zake wala sio Mbowe,wapo humo humo CCM

Na hao wa ndani lazima wamtoe jasho,lazima ashindwe tu
Old politics, toka mmenza kuita fulani maliti fulani katumwa jibu limewahi kupatikana?.Tatizo ni kutotaka kutumia akili kucheza game ya siasa,Siasa zinahitaji watu wenye akili ya kubadilika immediately kunapo kuwapo mabadiliko na akili kinzani iwe nje au ndani ya siasa.Viongozi wetu wa vyama siasa nao wanataka kuisha kile wanachokipinga kwa nje.For instance Wakati wa mkapa the room for democracy wa narrow,akaja kikwete akaachia goli people celebrated at least kulikua na nguvu ya hoja wakati huo akina silaa,Zitto, Kafulila nk..in the mean time walipoanza kutafuta internal changes wakaitwa wasaliti japo waliye msaliti hakuonekana, akaja mzee wa kanyaga upinzani wa ovyo 😀 😀 😀 😀 our political parties leaders never wanted to change tactis na kufikiria kesho wakataka mnyukano on the spot things went badly, amekuja Mama hana shida na mtu watu badala ya kujipanga kufanya siasa za kistaarabu kuachieve goals badala wanataka recognition na kutunisha msuli forgeting that infront of them there is a woman in power who is always defended naturally.My friend African politics are like a growing child see what is happening in Benin mtu anapigwa 10 years jela and no cares outside .Katibu mkuu wa Chadema hana mbinu,hana hoja nzito nzito na amekosa njia kukitoa chama chake kilipo kususia kila jambo ni uoga na huwezi kufanikiwa ukiwa nje ya uwanja wa vita labda uwe mwuza silaha za vita upate fedha na kujiimarisha kiuchumi.
 
UNGEKUWA NA AKILI UNGEJIFUNZA KITU HUONI MAMA ALIVYOBADIRIKA ALIPOKUWA ANAONGELEA HILO SUALA LA MBOWE? YAANI INAONYESHA HAPO MSAMAHA NI MDOGO KULIKO JELA
Msamaha ni hadi Mbowe afungwe, kabla ya kufungwa ni kuachiliwa tu.
 
Zitto saiv Ni kibaraka 100 percent Kama mnadhani wapinzani huyo Ni mwenzenu mnajidanganya...yaan saiv kila siku ccm wanamtumia watakavyo...January akimwambie nenda kulia anaenda...ccm wakimwambia vyakusema ivi anaropoka

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hakuna ubishi .... mama alikuwa anasoma summary yake kuhusu ombi la kuachiwa kwa mbowe .... zitto kapige makofi baada ya mama kusema 'lakini msamaha upo' halafu mama anamwangalia zitto na kurudia tena maneno yale .... read btn the lines ... this was a game plan
 
Mama ni wa kumwonea huruma, kesha jichanganya, hana ubavu huo.
UNGEKUWA NA AKILI UNGEJIFUNZA KITU HUONI MAMA ALIVYOBADIRIKA ALIPOKUWA ANAONGELEA HILO SUALA LA MBOWE? YAANI INAONYESHA HAPO MSAMAHA NI MDOGO KULIKO JELA
 
Old politics, toka mmenza kuita fulani maliti fulani katumwa jibu limewahi kupatikana?.Tatizo ni kutotaka kutumia akili kucheza game ya siasa,Siasa zinahitaji watu wenye akili ya kubadilika immediately kunapo kuwapo mabadiliko na akili kinzani iwe nje au ndani ya siasa.Viongozi wetu wa vyama siasa nao wanataka kuisha kile wanachokipinga kwa nje.For instance Wakati wa mkapa the room for democracy wa narrow,akaja kikwete akaachia goli people celebrated at least kulikua na nguvu ya hoja wakati huo akina silaa,Zitto, Kafulila nk..in the mean time walipoanza kutafuta internal changes wakaitwa wasaliti japo waliye msaliti hakuonekana, akaja mzee wa kanyaga upinzani wa ovyo 😀 😀 😀 😀 our political parties leaders never wanted to change tactis na kufikiria kesho wakataka mnyukano on the spot things went badly, amekuja Mama hana shida na mtu watu badala ya kujipanga kufanya siasa za kistaarabu kuachieve goals badala wanataka recognition na kutunisha msuli forgeting that infront of them there is a woman in power who is always defended naturally.My friend African politics are like a growing child see what is happening in Benin mtu anapigwa 10 years jela and no cares outside .Katibu mkuu wa Chadema hana mbinu,hana hoja nzito nzito na amekosa njia kukitoa chama chake kilipo kususia kila jambo ni uoga na huwezi kufanikiwa ukiwa nje ya uwanja wa vita labda uwe mwuza silaha za vita upate fedha na kujiimarisha kiuchumi.
Wewe jamaa ulitaka Chadema Wahudhurie ili kesho magazet yenu yaandike "Chadema yasalimu amri kwa CCM ". Hii ya leo Imeeleta questions kwa wadau mbalimbali kuwa kwanini Chama kikuu cha upinzani hakipo pale, hii ni tactical move kwa CDM..ukweli kuna hila ya sirikali katika kusmamia Uhuru wa upinzani katika uwanja wa Kisiasa. Ninyi mnafikili watanzania ni Wajinga??
 
Back
Top Bottom