The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Uchi upi hebu endeleeni jeuri uone kama mwenye kigoda wenu hajaozea jela.kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
Habari yote iko along Chadema... Bila Chadema kwa kweli wa apoteza muda tu na rasilimali za nchi bila sababu ya msingi.Chadema...wamecheza karata nzuri sana kutokuepo mana pamoja na kutokuepo bado hyo ndyo imekua habari ya mjini!!
Safi sana kwa kuulewa uzi😅😅😅ili waje waseme ni kwa sababu ya Ombi la Zitto kwenye mkutano
Mwisho leo kutuandikia taarifa ya udaku.kumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe
Katelephone nilikuwa namkubali lakini simuelewi siku hiziMpaka sasa hivi utapeli limekwisha wahusu wahuni.
NB: wanaoegamia kwa Mama ni wahuni. Timu hii ka-telefoni naye yupo. Pana ka ukweli humo!
Katelephone nilikuwa namkubali lakini simuelewi siku hizi
Yanawezekana. Zitto anacheza zaidi ya timu moja siku zote. Huwezi mwamini kabisaaa. Ili baadae aseme isingekuwa mimi wewe ungenyongwa nk nkkumbe baada ya kuona jinsi kesi ya mwamba Mbowe inavyoiweka uchi serikali nzima na kuwashusha hadhi makomandoo mbele ya watz Chief Hangaya alimpatia kibaraka Zitto Kabwe maneno ya kusema ili apate namna ya kumuachia Mbowe