Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Mkuu unaumia mimi kuwa ACT? Mbona wewe upo NCCR mm siumii?Tokea lini wewe ni Act wazalendo? Kura za Membe zipo palepale huu sio ukawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaumia mimi kuwa ACT? Mbona wewe upo NCCR mm siumii?Tokea lini wewe ni Act wazalendo? Kura za Membe zipo palepale huu sio ukawa.
Kwa Tanzania bara ACT haiwezi kupata hata kura 10,000Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura. Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Hawaelewi ukisema ukweli unapewa majina ya hovyo.Hawa CHADEMA hawajui kitu,kuwepo kwa picha ya membe kwenye karatasi za kupigia kura kunaleta maana kubwa kuwa huyu mgombea lazima atapata kura,
Mwaka 2015 nikisimamia uchaguzi huko lindi ndani ndani,cha kushangaza nilikuta mgombea wa chama cha NLD kapata kura nyingi kuliko aluzopata mgombea wa CHADEMA, sasa nikajiuliza huyu kapataje ili khali hata kampeni zake kwa wilaya ya liwale hazikufika?
Hivyo ni ukweli usiopingika huyu membe lazima apate kura nyingi sana tena kumliko lissu
Kwa hiyo mtaiba kura kupitia Membe .............!!Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Katika karatasi ya kura inayofuata alfabeti kuondoa upendeleo itaanza ACT wazalendo halafu Chadema halafu CCM .Hapo ndio itakuwa shida kwani wale waliosoma kizungu na wamezeeka wanaanza kushoto kwenda kulia.Picha ya Membe itarahisisha watu kumjua Lisu
Lakini atapigiwa kuraHiyo inajulikana mapema na tume walishasema ,kwahiyo hamna kipya ACT walishaamua kuunga mkono chadema ndo maana mgombea wao urais hafanyi kampeni
Nina hakika wewe hujawahi kufanya au kuwa sehemu ya research yani unatumia sample ya Liwale kupima siasa za Nchi????? So huyo wa NLD alimzidi lowasa?? Ivi Nyie mlisoma wapi wenzetu??? Mbona wajinga hivi???Hawa CHADEMA hawajui kitu,kuwepo kwa picha ya membe kwenye karatasi za kupigia kura kunaleta maana kubwa kuwa huyu mgombea lazima atapata kura,
Mwaka 2015 nikisimamia uchaguzi huko lindi ndani ndani,cha kushangaza nilikuta mgombea wa chama cha NLD kapata kura nyingi kuliko aluzopata mgombea wa CHADEMA, sasa nikajiuliza huyu kapataje ili khali hata kampeni zake kwa wilaya ya liwale hazikufika?
Hivyo ni ukweli usiopingika huyu membe lazima apate kura nyingi sana tena kumliko lissu
Keep calm, subiri uone lissu atakavyigalagazwa na kivuli cha membeNina hakika wewe hujawahi kufanya au kuwa sehemu ya research yani unatumia sample ya Liwale kupima siasa za Nchi????? So huyo wa NLD alimzidi lowasa?? Ivi Nyie mlisoma wapi wenzetu??? Mbona wajinga hivi???
Mjinga tu huyoNdio tunajua kwahiyo unataka kusemaje.
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji120][emoji120][emoji120]Kwani sisi hatujui kusoma na kuandika?
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Kwa hiyo ?!!!Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
So what?Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura