Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

Tunajua ccm mtampa kura membe ili kuonyesha kuwa ameungwa mkono lkn kwa taharifa yako izo kura zitatoka ktk kura za maguful na si za mh Lissu
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
 
Membe apambane na shindano lake, Ila tunaenda na Tundu Lissu (Tanganyika) na Maalim Seif (Zanzibar)
My president
IMG_20201004_214806.jpeg
IMG_20201004_214038.jpeg
IMG_20200926_184130.jpeg
 
Elimu tumeshapewa sana ya kutosha tumeshaelewa
Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.

Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
 
Hizo kura azipate wapi bwashee
 
Zito kama alivyomuuza Membe basi ndo hivyohivyo atakavyowauza Chadema kwa mara ya pili.
 
Walioama kwa zengwe kutoka ACT kwenda Chadema watampa kura JPM.
kuna wanachama wengi sana wa ACT mpaka sasa hawasemezani na viongozi wa Chadema kwajinsi walivyodhalilishwa na kwakukosoa maovu ya Mbowe mmiliki wa chama.
 
Aibu anayoipata Membe ni ya karne, alidanganywa na bavicha hapa JF akadhani anao surpoter wengi, kwa sasa hakuna hata anayemjadili,
Watu hawana Habali nae, nadhani alipona hili bandiko lako akawahi kusoma aone kama amekumbukwa kidogo.
 
Hata adhabu aliyopewa Magu nayo si ya mchezo,alidanganywa na Mataga/Uwt/wakina polepole kwamba upinzani umekufa,matokeo yake amekuja huku field amekuta hali ni tete mpk amepiga magoti jukwaani.
 
Who cares?

Wekeni hadi za Lowassa...

You people mliona upinzani ni kitu kisicho na nguvu,kuja kuhamaki ni tembo.....deal with it!

Ni peoples' desire,huwezi zuia....wekeni Membe sijui Magufuli sijui Lowassa sijui Piere Likwidi,etc....Lissu is gonna rape all of you in a broad day light!

Deal with that!
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamke
 
Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.

Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Hizo kura nyingi zaidi ya wagombea wengine zitatoka wapi kama Tundu Lisu tu hataweza pata kura nyingi ?
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
sasa unatuambia ili tufanyeje? au tupige magoti kama mgombea wenu
 
Hii ndo mbinu za tume ya uchaguzi kuivuruga chadema kupoteza kura maana kuna watu hawatajua kama membe kamuunga mkono Lissu, haya yalishawahi kutokea kweny jimbo letu la segerea kwa mbunge wakati ule wa ukawa ndio maana tunataka tume iwe huru na sio hii inayoteuliwa na mtu mmoja wakat huo huo na yy ni mgombea au chama chake
 
Hivi Membe yuko wapi? Hafanyi kampeni kabisa. Ila ndiyo ajue CCM ni baba lao. Amepotea mazima
 
Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.

Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Mkuu ni tag kwenye majibu yote uliyopewa na wana Chadema.
 
Back
Top Bottom