Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

Hii itakua kama ya jimbo la segerea mapema kabisa ushindi CCM kura zitagawanyika kwa hao wa 2
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Sawa kabisa ila kura za ACT ni kwa Lissu.
Sawa
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura

Tuliambiwa yupo anapanga baraza la mawaziri
 
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu

Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
Kwa mfano akitangaza kujiengua itakuwaje? Mbona wa vyama vya upinzani wengine walijiengua katikati ya kampeni na wa CCM kupita bila kupingwa?
 
Hiyo inajulikana mapema na tume walishasema ,kwahiyo hamna kipya ACT walishaamua kuunga mkono chadema ndo maana mgombea wao urais hafanyi kampeni
Mbinu kali sana wao wanaosema havitakiwi kuungana imekula kwake, wameshaungana kimya kimya tayari, miji mingine watashangaa picha ya membe watajiuliza huyu nani anapewa lissu
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Hiyo picha kabandikeni chumba cha mumeo.
Rais tayari anajulikana ni #yeye2020 TUNDU ANTIPAS MUNGWAI LISSU nyie bakini na zombi 👹lenu.
 
Mbinu kali sana wao wanaosema havitakiwi kuungana imekula kwake, wameshaungana kimya kimya tayari, miji mingine watashangaa picha ya membe watajiuliza huyu nani anapewa lissu
Vice-versaa inawezekana pia
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Ikiwepo ina shida gani?! Mbona hata ya Lipumba utakuwepo!
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
 
Huoni kama itawaathiri CCM hiyo? Wapenzi wengi wa Membe wako CCM, Bora Magufuli aagize picha ya Membe isiwepo kabisa kwenye ballot papers!
Umeongea point kubwa Sana.
Kuna watu Ni CCM dam hawako Tayari kumpa kura mpinzani,na hawako Tayari kabisa kumpa kura Jiwe,hivyo wao watampa kura Membe,kumbuka hao Ni wanaCCM wasio makini wasiofuatilia mikakati ya uchaguzi.hasahasa watakaofanya hivyo wengi Ni kutoka Mtwara na Lindi.
Hii itapunguza kura za CCm.
Imekula kwao.
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Ameongea kwa upole utafikiri mgonjwa wa safura.
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Utaanzisha thread hadi ukome. Kila baada ya dk 10 unaanzisha thread. Ccm imebuma, imebuma. Kubaliana na hali vinginevyo jiandae kisaikolojoa.
 
Tume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania

Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Kwa kijipendekeza kwako bila shaka utampigia kura mtu ambaye hajakuomba kura!
 
Hivi ndivyo viini macho vya nec kwa mgongo wa CCM wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali wanaenguliwa kwa kuwa ni wapinzani, Wapinzani haohao wanapojitoa kwenye nafasi za ugombea wanalazimishwa kugombea kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom