https://www.facebook.com/Cc: Pascal Mayalla Ruttashobolwa jingalao cocochanelTume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
Kuna wapenzi wake watampa kura na wale wasiokubaliana na huo uamuzi wa kumuengua mtu wao waliyempitisha vikao vya ACT wazalendo vya kamati kuu na mkutano mkuu
Hayo makubaliano ni ya viongozi sio wanachama wa ACT wazalendo
My presidentMembe apambane na shindano lake, Ila tunaenda na Tundu Lissu (Tanganyika) na Maalim Seif (Zanzibar)
Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.
Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Hizo kura azipate wapi bwasheeMleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.
Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
Tume watampa kura kwa kupunguza kura za Lissu.Ni bora iwepo itakuwa rahisi kumjua Tundu Lissu na kumpa kura yako ya ndio.
Aibu anayoipata Membe ni ya karne, alidanganywa na bavicha hapa JF akadhani anao surpoter wengi, kwa sasa hakuna hata anayemjadili,
Watu hawana Habali nae, nadhani alipona hili bandiko lako akawahi kusoma aone kama amekumbukwa kidogo.
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamkeWho cares?
Wekeni hadi za Lowassa...
You people mliona upinzani ni kitu kisicho na nguvu,kuja kuhamaki ni tembo.....deal with it!
Ni peoples' desire,huwezi zuia....wekeni Membe sijui Magufuli sijui Lowassa sijui Piere Likwidi,etc....Lissu is gonna rape all of you in a broad day light!
Deal with that!
Hizo kura nyingi zaidi ya wagombea wengine zitatoka wapi kama Tundu Lisu tu hataweza pata kura nyingi ?Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.
Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?
sasa unatuambia ili tufanyeje? au tupige magoti kama mgombea wenuTume ikishamteua mtu huwa inenda kuchapisha karatasi za kupigia kura .Hivyo kwenye karatasi za kura kutakuwa na picha ya Membe kama mgombea uraisi wa Tanzania
Sura yake mtaiona kwenye karatasi za kupigia kura
kwani mpiga magoti picha yake haitakuwepo?Mjue kuwa Lisu na Membe watakutana na kuchuana kwenye sanduku la kura
Mkuu ni tag kwenye majibu yote uliyopewa na wana Chadema.Mleta mada ana point ya msingi sana. Kama watu wasipopewa elimu ya kutosha, kuna kura nyingi zitapotea kwa sababu ya watu kumpigia kura Membe kisa wameiona sura yake kwenye karatasi ya kupigia kura.
Lakini pia haya mambo yasichukuliwe kimzaa, itakuwaje endapo membe atapata kura nyingi kuliko wagombea wote wa urais, je atakataa kuapishwa kisa alimuunga mkono Tundu Lissu?