Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani - “Mtasubiri sana”

Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani - “Mtasubiri sana”

Haya ni mambo mazito sana mkuu 'gallow bird' kwa sisi kuja hapa na kuyafanya kama ya utani tani tu. Ninakusikitikia sana kinacho kuongoza kuwa na hali hii, wakati ukijuwa Tanzania yetu ipo hatarini..
Hata kama hupendi baadhi ya watu, waTanzania wenzako, lakini ni muhimu kuuona ushirikiano wa taifa letu ukidumu. Hao unaowachukia waseme unapoona wanafanya mambo yanayokuchukiza wewe, lakini jambo muhimu, la Tanzania yetu sote linabaki palepale bila ya kutetereka.
Uchaguzi oktoba,chagua kiongozi umtakae
 
Uchaguzi oktoba,chagua kiongozi umtakae
Sasa unataka nikwambie nini ili upate kunielewa ninachosema mkuu wangu 'gallow bird'?

Unataka nianze kueleza kila kitu ambacho tayari kimekwishasemwa humu JF na mahali kwingine kote? Wewe unaishi dunia gani usijue kwa nini wakati huu tunayo matatizo haya tukielekea Oktoba. Yaanikweli hujui chochote?

Ninakuomba sana tafadhali, usitafute tu kunipotezea muda wangu bure.
 
🤣🤣🤣 Haya mkuu, endelea na mambo yako
 
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

Nikweli
 
Back
Top Bottom