Kumbukizi: Anna Tibaijuka anasema kupata Katiba Mpya katika Mazingira ya Amani - “Mtasubiri sana”

Huwa anaongea point sana , ni bora angekuw Raisi
 
So Short Version Tanzania Ipo na culture ya Uoga Kwa Maneno Aliongea..
Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

StuKuna shida gani CCM ikiendelea kushika hatamu!?..huko kenya,zambia ambako vyama t
Kuna shida gani CCM ikiendelea kushika hatamu!?..huko kenya,zambia ambako vyama tawala vilishindwa kumebadilika nini?!
kunauwezekano hata kazi unayofanya unafanya ili upate ela ya kuishi mpaka siku unayokufa na unaeza usiache hata mia kwenye kabati lako sababu hayo maneno ni ya mtoto wa kike anaesubiria kuolewa na kuhamia kwa bwana ake Fikiria vyema zaidi huenda unaitaji mabadiliko kibinafsi zaidi kabla ya kuiwaza nchi yako

Profesa na Dr Anna Tibaijuka Mwanamke wa kwanza kuliongoza shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT.

Achana na kuwa Mbunge wa Muleba Mkoani Kagera sijui kuwa Waziri. Huyu alikuwa mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi duniani UN habitat.

Anakuambia si rahisi kupata katiba mpya katika Mazingira ya Amani.

WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA

uu
 
Jakaya kikwete aliyekua rais wa awamu ya nne alikaa na vyama vya upinzani ikiwemo chadema na kukubaliana kuandika katiba mpya,
Mchakato ukaenda mpaka tukapata Bunge la katiba, kwenye ukinzani wa hoja chadema wakaunda kikundi Cha UKAWA hapo ndipo mambo yakaanza kuharibika
Pamoja na mengine wao wakasimamia Sana Sana suala la serikali tatu huku ccm wakitaka serikali mbili, hapa chadema walifanya kosa kubwa mno waliwaza mgawanyo wa madaraka hata kabla hawajapata madaraka yenyewe.
Yes tunakubaliana ya kwamba Ile rasimu ya katiba pendekezwa ilikua na mapungufu lakini mapungufu Yale huwezi kuyafananisha na mapungufu makubwa zaidi yaliyopo kwenye katiba yetu ya sasa ya mwaka 1977
Kama Ile chadema wangeunga mkono Ile rasimu leo ikapita kua katiba Leo tungekua tupo sehemu salama zaidi kuliko ilivyo leo
Ukiwa unamdai mtu laki moja akatak kukulipa shilingi elf hamsini chukua hamsini kwanza uwe nayo mkononi kesho ukija hutodai laki Tena Bali 50, ccm walishakubali kutoa 50 tungechukua kwanza Ile leo tusingedai tunayodai Leo hii.
Kwa hiyo huku sijui kupigwa kutekwa kunyanyaswa chadema wamekutaka wenyewe
Jpm alisema katiba mpya sio kipaombele chake miaka kumi yake ndo imeisha hakuna katiba mpya, na ninavyoona matusi na kususia uchaguzi kwa chadema mwaka huu Samia atamaliza miaka mitano teena ijayo na hataacha katiba mpya.
 
I hope huwa unatumia condom, kwa sababu sidhani kama dunia ipo tayari kuwa na kiumbe kingine chenye vinasaba ama IQ kama yako. Usirudie makosa ya wazazi wako
 
Tume ya warioba ikusanye maoni ya wanainchi, wananchi watake serekali tatu. ijee ibadilishwe na ccm kwa maslai yao. Sasa kulikuwa na haja gani kuzunguka Tanzania nzima kupata maoni.

UKAWA(Umoja wa Katiba ya Wananchi) wao walikuwa wanatetea maoni ya wananchi. Na sio serekali tatu. Maana umeshikilia serekali tatu tuu.

Unamjua Rais wa Tanganyika?
 
Jakaya kikwete aliyekua rais wa awamu ya nne alikaa na vyama vya upinzani ikiwemo chadema na kukubaliana kuandika katiba mpya,
Mchakato ukaenda mpaka tukapata Bunge la katiba, kwenye ukinzani wa hoja chadema wakaunda kikundi Cha UKAWA hapo ndipo mambo yakaanza kuharibika
Pamoja na mengine wao wakasimamia Sana Sana suala la serikali tatu huku ccm wakitaka serikali mbili, hapa chadema walifanya kosa kubwa mno waliwaza mgawanyo wa madaraka hata kabla hawajapata madaraka yenyewe.
Yes tunakubaliana ya kwamba Ile rasimu ya katiba pendekezwa ilikua na mapungufu lakini mapungufu Yale huwezi kuyafananisha na mapungufu makubwa zaidi yaliyopo kwenye katiba yetu ya sasa ya mwaka 1977
Kama Ile chadema wangeunga mkono Ile rasimu leo ikapita kua katiba Leo tungekua tupo sehemu salama zaidi kuliko ilivyo leo
Ukiwa unamdai mtu laki moja akatak kukulipa shilingi elf hamsini chukua hamsini kwanza uwe nayo mkononi kesho ukija hutodai laki Tena Bali 50, ccm walishakubali kutoa 50 tungechukua kwanza Ile leo tusingedai tunayodai Leo hii.
Kwa hiyo huku sijui kupigwa kutekwa kunyanyaswa chadema wamekutaka wenyewe
Jpm alisema katiba mpya sio kipaombele chake miaka kumi yake ndo imeisha hakuna katiba mpya, na ninavyoona matusi na kususia uchaguzi kwa chadema mwaka huu Samia atamaliza miaka mitano teena ijayo na hataacha katiba mpya.
Tupo hapa kwa sababu ya machawa wachafu na mazwazwa kama wewe na anayefuga senzi kabisa na ulaaniwe.
 
WEWE UNAYEPINGA KATIBA MPYA WEKA WASIFU WAKO HAPA
U-Profesa na u-daktari upo, na Utafiti wa kina sana katika fani ya kisayansi. NAPINGA anayosema Tibaijuka. Sipingi KATIBA MPYA.

CCM hawawezi kutulazimisha kuvuruga nchi yetu sisi wenyewe. Tutawavuruga wao kwanza; hasa hilo Genge linalomshikilia huyo mama.
Kuwadhibiti hawa hakutahitaji kuivuruga nchi yetu na kati yetu sisi wenyewe.
 
Kumekucha
Hapana. Bado kidogo. Hivi vitisho vya vurugu ni kutia watu hofu tu, hakuna la ziada ya hapo. Usifikiri huyo mama kweli anayasema hayo kwa dhati ya moyo wake.
Kwa nini asiwaeleze wenzie huko huko kwenye chama chao cha CCM. Si wao ndio wanang'ang'ania?
Amefanya kitu gani kulinusuru taifa hili na janga la aina hiyo analolizungumzia yeye?

Huyu alikuwa ni kiongozi senior sana katika chama hicho katika nyakati mbalimbali. Alipokuwa akishiriki kukidhoofisha chama hicho hadi kufikia hapa kilipo sasa; hakujua umuhimu wa Katiba Mpya?
Huyu hakuwemo kwenye Bunge la Katiba, lile lile lililomuibua Samia na kumfikisha hapa, wakati huo alifanya nini?
 
Jakaya kikwete aliyekua rais wa awamu ya nne alikaa na vyama vya upinzani ikiwemo chadema na kukubaliana kuandika katiba mpya,
Mchakato ukaenda mpaka tukapata Bunge la katiba, kwenye ukinzani wa hoja chadema wakaunda kikundi Cha UKAWA hapo ndipo mambo yakaanza kuharibika
Pamoja na mengine wao wakasimamia Sana Sana suala la serikali tatu huku ccm wakitaka serikali mbili, hapa chadema walifanya kosa kubwa mno waliwaza mgawanyo wa madaraka hata kabla hawajapata madaraka yenyewe.
Yes tunakubaliana ya kwamba Ile rasimu ya katiba pendekezwa ilikua na mapungufu lakini mapungufu Yale huwezi kuyafananisha na mapungufu makubwa zaidi yaliyopo kwenye katiba yetu ya sasa ya mwaka 1977
Kama Ile chadema wangeunga mkono Ile rasimu leo ikapita kua katiba Leo tungekua tupo sehemu salama zaidi kuliko ilivyo leo
Ukiwa unamdai mtu laki moja akatak kukulipa shilingi elf hamsini chukua hamsini kwanza uwe nayo mkononi kesho ukija hutodai laki Tena Bali 50, ccm walishakubali kutoa 50 tungechukua kwanza Ile leo tusingedai tunayodai Leo hii.
Kwa hiyo huku sijui kupigwa kutekwa kunyanyaswa chadema wamekutaka wenyewe
Jpm alisema katiba mpya sio kipaombele chake miaka kumi yake ndo imeisha hakuna katiba mpya, na ninavyoona matusi na kususia uchaguzi kwa chadema mwaka huu Samia atamaliza miaka mitano teena ijayo na hataacha katiba mpya.
Ulichoandika ni ujinga mtupu.
 
Huyu Professor safi sanaaaa. Anajua anachokiongea
Sidhani kama ana akili.
Maneno hayawezi kuonesha uwezo wa akili ya mtu afanye vitendo ili tujue anachosema anamaanisha.
Watu wapumbavu wanaona vita havina suluhu Sudan,Congo na hata mashariki ya kati lakini bado wanaamini katika vita
 
Vitu vya kupromoti vurugu na kupinga serikali ndiyo vyenya akili!?
Kwa kweli sikutaka kuku-'quote', lakini nimeshindwa kujizuia hasa kwa hayo maneno yako ya "kupinga serikali".

kama wewe hupingi serikali hii, itakuwa ni mmoja wao, umo humo humo, au unafaidika kwa njia fulani na dhuluma nyingi zinazofanywa na serikali wakati huu.
Sioni vinginevyo mtu asipinge sreikali yenye dhulma kama hii, inayonyima HAKI wananchi wake kuwachagua viongozi wao wanaowataka wawaongoze kwa UHURU na kwa HAKI.
 
Maneno hayawezi kuonesha uwezo wa akili ya mtu afanye vitendo ili tujue anachosema anamaanisha.
Watu wapumbavu wanaona vita havina suluhu Sudan,Congo na hata mashariki ya kati lakini bado wanaamini katika vita
Siamini kuwa huna hata mfano mmoja tu wa mahali ambako vita ilileta suluhu. Mbona mifano ipo mingi sana, tokea enzi na enzi!
Kwa kusema hivyo sina maana kuwa vita pekee ndiyo suluhisho katika kila hali.
 
Kwa kweli sikutaka kuku-'quote', lakini nimeshindwa kujizuia hasa kwa hayo maneno yako ya "kupinga serikali".

kama wewe hupingi serikali hii, itakuwa ni mmoja wao, umo humo humo, au unafaidika kwa njia fulani na dhuluma nyingi zinazofanywa na serikali wakati huu.
Sioni vinginevyo mtu asipinge sreikali yenye dhulma kama hii, inayonyima HAKI wananchi wake kuwachagua viongozi wao wanaowataka wawaongoze kwa UHURU na kwa HAKI.
We *** kweli,umenyimwa haki ya kuchagua lion umtakae!?
 
Haya ni mambo mazito sana mkuu 'gallow bird' kwa sisi kuja hapa na kuyafanya kama ya utani tani tu. Ninakusikitikia sana kinacho kuongoza kuwa na hali hii, wakati ukijuwa Tanzania yetu ipo hatarini..
Hata kama hupendi baadhi ya watu, waTanzania wenzako, lakini ni muhimu kuuona ushirikiano wa taifa letu ukidumu. Hao unaowachukia waseme unapoona wanafanya mambo yanayokuchukiza wewe, lakini jambo muhimu, la Tanzania yetu sote linabaki palepale bila ya kutetereka.
 
Back
Top Bottom