Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Magufuli ndio aliipeleka 16% na ndio chanzo cha makesi kibao ya hayo makampuni ya madini na Tanzania na almost kampuni nyingi za kigeni zimelipwa "DAMAGES" baada ya sisi kushindwa kesi mahakamani kutokana na kubadili vipengele vya kimkataba.Magufuli alisema yeye ndiye aliyepambana ndio ikafika hiyo asilimia 16 !
Je umeshasahau mara hii habari zote za makinikia ??! Na Barrick mpaka Boss wa Barrick akaja Dar na private Jet ??!
🤣🤣🤣
Kweli Watanzania tu wasahaulifu sana !
Duh 🙄 !